Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Dah we jamaa bn, tumia muda huu kujiandaa tu acha wogaTANESCO kesho kuna test saa mbili usiku
Kata umeme basi venue pasiingilike
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hivi tanesco mbona hii message yangu hamjibu? Mliniomba taarifa zangu nikawatumia ila mpaka Leo ni miezi 2 hamna majibu yoyote. Kama hili suala lipo nje ya uwezo wenu msemeMimi kwangu surveyor alikuja toka 28/04/2021 nipo ndani ya mita 45 panahitaji nguzo moja ila mpaka leo TANESCO hawataki kunipa control number, sasa sijui hizo siku 60 zinaanza kuhesabiwa kuanzia kwa surveyor au kuanzia siku uliyopewa control number. TANESCO naombeni majibu
Tafadhali tutumie taarifa kamiliHivi tanesco mbona hii message yangu hamjibu? Mliniomba taarifa zangu nikawatumia ila mpaka Leo ni miezi 2 hamna majibu yoyote. Kama hili suala lipo nje ya uwezo wenu mseme
Jina: Lwitiko MwambeneTafadhali tutumie taarifa kamili
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Nimefata taratibu kama ulivyonielekeza,tatizo wanizungusha kunipatia mashine nyingine,nifanyeje,niwape ya kubrashia viatu ?Tafadhali toa taarifa police upatiwa police loss report kisha fika nayo ofisi za eneo lako huku ukiwa na barua ya kuelezea mazingira ya kupotea kwenda kwa manager wa eneo lako, taratibu zitafatwa kisha utalipia na kupatiwa nyingine
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu, tunaomba uvumilivu tuifikieNarudia tena. Kuna barua yangu nimeleta tangu mwezi wa 9, nikiomba kuhamishiwa nguzo kwani mafundi wenu wamemfungia umeme jirani yangu wa mtaa wa nyuma yangu kwa kupitisha waya juu ya paa langu na ndani ya uzio wa nyumba yangu.
Narudia tena naomba mje kuhamisha nguzo ili majirani zangu wote wapate umeme na waya usipite juu ya paa langu. Kwani waya ukichanika ukagusa paa langu naweza kusababishiwa madhara kwa binadam.
Nipo Msongola, nyuma ya kituo cha Watoto Yatima, jimbo la Ukonga, Ilala.
Nimeleta barua gongo la mboto.
Namba yangu ya simu hii 0714 520 882.
Yakitokea madhara I will sue the company and my neighbour. Nisiposhughulikiwa tena hili, nakuja kumuona Meneja wa Ukonga, akishindwa, naenda kwa meneja wa mkoa hata kwa waziri. We can't complain about the same thing for months alafu hakuna hatua yoyote as if hakuna uongozi!!!!
Ndugu mpendwa Mteja wetuNimefata taratibu kama ulivyonielekeza,tatizo wanizungusha kunipatia mashine nyingine,nifanyeje,niwape ya kubrashia viatu ?
NimekuPa taarifa kwenye PM .naomba msaada wako mkuuNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Hivi vinafungwa baada ya mita hivyo ni jukumu la mteja na mkandarasi wake, ukitembelea maduka ya vifaa vya umeme utazipata kwa bei ya maelewano kati yako na wauzajiTanesco,naombeni mnieleweshe kuhusu hizi wanazoziita sub meter ambazo unanunua luku unaweka ,hizi ni tofauti na vile visoma Unit.Je ni halali kuwa na hicho ki sub meter?maana kuna wadau wanauza tena kwa bei ya laki na sabini (170,000).
Kwanini msizalishe ama kuagiza hivi nyinyi wenyewe Tanesco ili iwe rahisi kwa wateja wenye shida kama mimi katika nyumba zetu za kupanga?
Najua hampati kero hizi maana nyie hamlipii umeme,mna mita za bure ila mngekuwa mnalipia akili ingewakaa sawa.
Mkuu nimepata ile CIU iliyopotea,ambayo nilipata loss report ya polisi,pia niliandika barua ya kuomba nyingine tanesco,Hivi vinafungwa baada ya mita hivyo ni jukumu la mteja na mkandarasi wake, ukitembelea maduka ya vifaa vya umeme utazipata kwa bei ya maelewano kati yako na wauzaji
Meter za kuonyesha matumizi bado huwa zinaleta mgogoro. Hizo meter nilizoomba TANESCO nazilipa sizichukui bure. Pili bado wapangaji watakuwa kila mmoja huru na kuweka umeme na ukiisha unaendana na matumizi yakeIli kuwa na mita zaidi ya moja lazima tujiridhishe kuwa mita ya sasa imefikia matumizi yanayotulazimu kuwa na mita nyingine, kama ni kwa ajili ya usimamizi wa wapangaji wako unadhauriwa kufunga mifaa maalumu vya kusoma matumizi yao na sio kuongeza mita nyingine.
Ahsante sana