Narudia tena. Kuna barua yangu nimeleta tangu mwezi wa 9, nikiomba kuhamishiwa nguzo kwani mafundi wenu wamemfungia umeme jirani yangu wa mtaa wa nyuma yangu kwa kupitisha waya juu ya paa langu na ndani ya uzio wa nyumba yangu.
Narudia tena naomba mje kuhamisha nguzo ili majirani zangu wote wapate umeme na waya usipite juu ya paa langu. Kwani waya ukichanika ukagusa paa langu naweza kusababishiwa madhara kwa binadam.
Nipo Msongola, nyuma ya kituo cha Watoto Yatima, jimbo la Ukonga, Ilala.
Nimeleta barua gongo la mboto.
Namba yangu ya simu hii 0714 520 882.
Yakitokea madhara I will sue the company and my neighbour. Nisiposhughulikiwa tena hili, nakuja kumuona Meneja wa Ukonga, akishindwa, naenda kwa meneja wa mkoa hata kwa waziri. We can't complain about the same thing for months alafu hakuna hatua yoyote as if hakuna uongozi!!!!