Mm nipo mkoa wa songwe wilaya ya mbozi kata ya mlowo nimepimiwa na surveyor tokea mwezi wa sita lkn mpka Leo sijafungiwa umeme nikiuliza wanadai nguzo ni chacheDodoma Emergency
Mobile 026 232 1728
Home 0782 161 643
Work +255 734 173 368
Tuliandika barua na tukajiorodhesha wananchi zaidi ya kaya 130 kuomba kupatiwa huduma ya umeme tukaipeleka kwenye Ofisi ya TANESCO wilaya Missenyi mkoani Kagera lakini huu ni mwaka wa pili na miezi kadhaa hatujawahi kujibiwa
Mm nipo mkoa wa songwe wilaya ya mbozi kata ya mlowo nimepimiwa na surveyor tokea mwezi wa sita lkn mpka Leo sijafungiwa umeme nikiuliza wanadai nguzo ni chache
Tumeamua kujiunganisha/ kujikusanya wananchi wanne tulio teyar kwa maombi ili tushare nguzo yaan kila mmoja nguzo mbili mbili tokea kwenye chanzo lkn wapi
Shida ni nn Jman mbona mnatutesa wapiga kura
Habari?Kuna kazi zako mbili zenye majina tofauti lakini namba yako je unahusikaje zote?
Tafadhali oneshaHabari?
Mimi ni mteja ambaye nibadilishiwa meter ya umeme dar es salaam
Na nilikuwa na luku ambayo sikuweka then nikaenda ofisi ya tanesco ya usalama... Nikapewa fomu ya kujaza ili nibadilishiwe luku niliyonunu ... Kuhamia kwenye meter mpya. Waliniambia watanitumia kwenye simu... Lakini imeshapita week moja na sijatumiwa.
Nini tatizo tena tanesco? Kwanini mnasua sua?
JamiiForums mobile app
Wilaya... KinondoTafadhali onesha
Wilaya
Namba ya simu
Namba ya mita
Toka lini
Tumepokea kwa hatua zaidiWilaya... Kinondo
Simu... 0683 121457
Meter number. 24 2391 44207.
Tarehe niliyoanza kufuatilia tanesco. 9 November 2021
JamiiForums mobile app
ADINAN RASHIDNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
Penye ukweli uongo hujitenga. Ni vyema mkiwa wakweli ili tuweze kutafuta suluhisho na njia nyingine ya kuipata hiyo nishati. Kazi zetu zinakwama na hivyo kutuingiza katika kupata hasara tusiyoitarajia.Tafadhali pokea taarifa yetuView attachment 2015277
Ujiandae na nn? Ngumbaru kwa UjuajiLeo hakuna umeme. Kibaya zaidi Ni kuwa hawataki kusema tukajiandaa.
Tanesco toeni ratiba tujiandae kuukabili ukosefu wa umeme