TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Dodoma Emergency
Mobile 026 232 1728
Home 0782 161 643
Work +255 734 173 368
Mm nipo mkoa wa songwe wilaya ya mbozi kata ya mlowo nimepimiwa na surveyor tokea mwezi wa sita lkn mpka Leo sijafungiwa umeme nikiuliza wanadai nguzo ni chache

Tumeamua kujiunganisha/ kujikusanya wananchi wanne tulio teyar kwa maombi ili tushare nguzo yaan kila mmoja nguzo mbili mbili tokea kwenye chanzo lkn wapi

Shida ni nn Jman mbona mnatutesa wapiga kura
 
Bado nasubiri na bado sijajua tatizo ni nini

Salum Issa
Dares salam
Wilaya Ilala chanika
Kimwani street

Malipo yamepokelewa kwenda TANESCO
Ankara: 991032834983
Kiasi: 27000 TZS
Risiti: 921242065855721
2021-08-30T14:08:46
Kupitia: FB97911630321725
 
Tuliandika barua na tukajiorodhesha wananchi zaidi ya kaya 130 kuomba kupatiwa huduma ya umeme tukaipeleka kwenye Ofisi ya TANESCO wilaya Missenyi mkoani Kagera lakini huu ni mwaka wa pili na miezi kadhaa hatujawahi kujibiwa

Ushauri wangu wa bure bila malipo. Nunuweni solar muachane na umeme wa tanesco(kuunga unga)
 
Mm nipo mkoa wa songwe wilaya ya mbozi kata ya mlowo nimepimiwa na surveyor tokea mwezi wa sita lkn mpka Leo sijafungiwa umeme nikiuliza wanadai nguzo ni chache

Tumeamua kujiunganisha/ kujikusanya wananchi wanne tulio teyar kwa maombi ili tushare nguzo yaan kila mmoja nguzo mbili mbili tokea kwenye chanzo lkn wapi

Shida ni nn Jman mbona mnatutesa wapiga kura

Wanakera sana hawa. Kama ni mimi Rais nafukuza wajinga wajinga wasiyojuwa thamani ya mteja
 
Leo asubuhi saa 3 kasoro umeme umekatika tena Boko na maeneo jirani. Hapo hadi saa 12 jioni mtarudisha. Ni mateso sana na joto hili.
 
Kuna kazi zako mbili zenye majina tofauti lakini namba yako je unahusikaje zote?
Habari?
Mimi ni mteja ambaye nibadilishiwa meter ya umeme dar es salaam
Na nilikuwa na luku ambayo sikuweka then nikaenda ofisi ya tanesco ya usalama... Nikapewa fomu ya kujaza ili nibadilishiwe luku niliyonunu ... Kuhamia kwenye meter mpya. Waliniambia watanitumia kwenye simu... Lakini imeshapita week moja na sijatumiwa.
Nini tatizo tena tanesco? Kwanini mnasua sua?

JamiiForums mobile app
 
Tafadhali onesha

Wilaya

Namba ya simu

Namba ya mita

Toka lini
 
Yani miaka 60 ya uhuru bado tupo kwnye shida za maji na umeme hii ni aibu kubwa kwa taifa yani kila ikifika uchaguz tunahaidiwa kupewa maji safi na umeme lakin kwa mwendo huu hatutofika tunahitaji wawekezaji wapya kwenye maji na umeme kama ilivo kwnye mitandao ya simu
 
Hawa jamaa hawajibu maswali ya nini kinachoendelea na kusaabisha umeme kukatia hovyo.Huku Morogoro hakuna umeme kila siku unakatwa.Leo wamekata saa tisa usiku
 
Hawa jamaa hawajibu maswali ya nini kinachoendelea na kusaabisha umeme kukatia hovyo.Huku Morogoro hakuna umeme kila siku unakatwa.Leo wamekata saa tisa usiku
Tafadhali pokea taarifa yetu
Screenshot_20211118-140527_WhatsApp.jpg
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
ADINAN RASHID
Buhanda
Kigoma/ujiji
0713355984
Kuunganishiwa huduma
Nmelipia tar 21/10
Namba ya taarifa? Cjaelewa
 
Back
Top Bottom