Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Hivi wakuu wengine mnapata hata nguvu za kununua lukuTANESCO je, kuna tatizo la kununua umeme kwa mtandao tena leo? Kila mtandao ninaojaribu kutumia kununua patupu
ndugu mteja, pole sana kwa usumbufu mnaopataHivi wakuu wengine mnapata hata nguvu za kununua luku
Mie nimekata tamaa nipo morogoro eneo dumila yaan umeme ni shida sana unakata mno yaani kwa siku unaweza waka lisaa limoja tu
Kwani shida ni nini jamanindugu mteja, pole sana kwa usumbufu mnaopata
wataalam wetu wanaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma inarejea kama awali
tunaomba sana radhi kwa usumbufu unaojitokeza
Sijajua shida nini wakikaa kwenye majukwaa wakiongopea unafikiri wa maana kumbe miyeyusho sanaUMEME VIJIJINI MPAKA LEO BAADHI YA VIJIJI SASA NI MWAKA WA 8
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO naomba msaada, umeme hauingii ndani ya nyumba lakini nimeangalia kwenye rimoti ya luku unit zipo za kutosha tu. Ila kuna alama ambayo sijaielewa, nimeweka picha kwa ufafanuziView attachment 2024731
Haya saa 4 ndio hii,umeme bado haujarudi.Keep your promise.TANESCO haya marekebisho yataisha lini?hivi hii mitambo mnayo nyinyi tu dunia nzima,wengine wanafanyaje hivi vitu bila kusababisha usumbufu mkubwa hivi?na pia niwashauri kitu,kwa uzoefu wangu wa maisha ya Dar,walau siku ya jtano inakuwaga haina mishe sana,shughuli nyingi zinapoa.Ni heri muwe selective siku za kufanya haya mambo yenu zisiangukie wakati wenye shughuli nyingi kama weekend.Mie siwaelewi mnapoakaa jtatu hadi ijumaa halafu matengenezo mje kuyafanya jmosi,kweli?!hivi hamjiongezi wakuu?Eneo lote hilo mlilokata ni shughuli ngapi zimeathirika?na hayo maeneo mengi ni nje ya mji ambako watumiaji wengi ni wa nyumbani na biashara ndogondogo,so huwa bize zaidi weekends!hata mnapofanya kazi zenu kuweni smart kidogo wakuu,hii sio fair,mtu unasubiri wiki nzima uje kupata hesabu zako ijumaa,jmosi,jpili na jtatu halafu ndio siku hizo na nyie mnataka mfanye kazi zenu,kweli?!
View attachment 2024680
Pumbafu zako wewe... pumbafu huyo mkurugenzi wenu... pumbafu huyo waziri wenu... pumbafu huyo Rais wenu... Was*nge kabisa nyie!Ndugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pumbafu zako wewe... pumbafu huyo mkurugenzi wenu... pumbafu huyo waziri wenu... pumbafu huyo Rais wenu... Was*nge kabisa nyie!
Huku sisi mbalamweziMgao ndio ushaanza? Tangu asubuhi umeme hakuna, namba ta Tanesco ipo busy