Dar sahivi mgao wa Maji na umeme umepungua. Hawana kiteteo.
 
Schedule mantainance na maandalizi ya kuuza umeme nje ya nchi, ili nchi yetu iendelee kufunguka zaidi kuwa mvumilivu hali itakaa sawa.

Mwendazake kaondoka na yake.
 

Itakuwa miundo mbinu tu! Nina miezi 5 toka nije Dar hakuna siku umeme umekata zaidi ya nusu saa Na sio zaidi ya Mara 5
 
Itakuwa miundo mbinu tu! Nina miezi 5 toka nije Dar hakuna siku umeme umekata zaidi ya nusu saa Na sio zaidi ya Mara 5
Upo Dar sehemu gani hiyo mkuu ambayo umeme haujakatika for more than 30 minutes kwa muda wa miezi mitano?
 
Nadhani TANESCO kunatatizo kubwa kuliko tunalo ambiwa.

Nahisi kuna vitu vinafanyika kuandaa mazingira kukubaliwa kwa umeme wa dharura.

Hakuna sababu ya kuwa na tatizo la umeme kiasi hiki wakati miaka 5 iliyopita tulisahau habari hizi.

Sababu zinazo tolewa haziishi

1. Mitambo chakavu
2. Mito kukauka
3. Data za uongo
 
Tafadhali onesha ni eneo gani, Wilaya na namba ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidi

Zingatia

Inapotokea hitilafu au tatizo sehemu fulani au kwa mteja mmoja ni vema ukapata taarifa kamili kabla ya kuwa na dhana kadhaa dhidi ya tatizo husika, tupo kukupatia ufafanuzi na taarifa kamili.
 
TANESCO! Nimefungiwa umeme mwezi wa kumi, inakuaje leo nikinunua umeme nauziwa unit 1 kwa shlng 300?
 
Tabata mwananchi umeme mmekata Tena jioni hii kwanini? Kuna tatizo?
 
T-Mwananchi mtaa wa magengeni na viunga vyake Vyote umeme Hamna, umekatika jioni hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…