Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeamini enzi za upigaji zimerudi
Jana hapa Mara umeme umekata saa 12 asubuhi umerudi saa sita usiku
Saa tatu usiku miji ilikuwa giza la hatari ikipigwa tafu na mbalamwezi, na Makamba yupo ofisini nchi haina umeme
Mvua zinanyesha lakini tunashangaa huu mgawo unatoka wapi?
Inyeshe isinyeshe mgawo, enzi za upigaji zimerudi nimeamini, mbona kipindi cha JPM haya madudu hayakuwepo?
Nchi hii tuna safari ndefu sana zaidi ya karne 5
Upo Dar sehemu gani hiyo mkuu ambayo umeme haujakatika for more than 30 minutes kwa muda wa miezi mitano?Itakuwa miundo mbinu tu! Nina miezi 5 toka nije Dar hakuna siku umeme umekata zaidi ya nusu saa Na sio zaidi ya Mara 5
Hawawez kukujibu hiliTanesco leo mmeunguza vitu vyangu vya umeme kutokana na voltages zenu kua juu kuliko kawaida.. nipo kigamboni hospital ya vijibweni contact ni 0689783777View attachment 2040576
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tafadhali onesha ni eneo gani, Wilaya na namba ya simu kwa ufatiliaji na hatua zaidiNadhani TANESCO kunatatizo kubwa kuliko tunalo ambiwa.
Nahisi kuna vitu vinafanyika kuandaa mazingira kukubaliwa kwa umeme wa dharura.
Hakuna sababu ya kuwa na tatizo la umeme kiasi hiki wakati miaka 5 iliyopita tulisahau habari hizi.
Sababu zinazo tolewa haziishi
1. Mitambo chakavu
2. Mito kukauka
3. Data za uongo
Kwa hiyo ulitaka upewe bure? Pambana na hali yakoTANESCO! Nimefungiwa umeme mwezi wa kumi, inakuaje leo nikinunua umeme nauziwa unit 1 kwa shlng 300?
0686289389Eneo gani haswa na namba yako ya simu tafadhali