Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Toeni majibu ya kueleweka ,mtu anauliza swali la msingi nyie mmekomaa tu "mmepokea taarifa" ndo jibu gani hilo mnakera kinyama,tunataka kujua tuliolipia 27000 gharama mpya inatuhusu!!? Badala ya kutoa majibu ya kueleweka mnaleta mipasho[emoji34][emoji34][emoji34]Tumepokea taafifa kwa hatua zaidi
Ambao wameshalipia taratibu za kuwaunganishia huduma zinaendelea ambao bado ndio wataendelea na utaratibu mpyaToeni majibu ya kueleweka ,mtu anauliza swali la msingi nyie mmekomaa tu "mmepokea taarifa" ndo jibu gani hilo mnakera kinyama,tunataka kujua tuliolipia 27000 gharama mpya inatuhusu!!? Badala ya kutoa majibu ya kueleweka mnaleta mipasho[emoji34][emoji34][emoji34]
Ok haya ndo majibu yanayotakiwaAmbao wameshalipia taratibu za kuwaunganishia huduma zinaendelea ambao bado ndio wataendelea na utaratibu mpya
tuliofanya taratibu zote tulikua tunasubiri surver je itatuhisu bili mpya ???Ambao wameshalipia taratibu za kuwaunganishia huduma zinaendelea ambao bado ndio wataendelea na utaratibu mpya
Zipo sawa mkuu ingiza kwa uangalifuHabari ya majukumu.
Samahani nipo kijijini Same, Mkoa wa Kilimanjaro.
Nimenunua umeme kwa njia ya tigo pesa lakini nikaambiwa natakiwa kupata key change, nikafanya mawsiliano nikapewa
Group 1: 56620623197696102583
Group 2: 68182461861285664826
Kisha nikanunua umeme na kupata token 40928158604785568648
Kila nikijaribu kuingiza key change na token kwenye mita inagoma napata ujumbe 'reject'. Mita ni zile zinazotumia remote.
Tafadhali naomba kupata msaada wenu. Mita Namba ni 37220381471
Asante.
Ndugu mpendwa Mteja wetuTANESCO,
kwa kawaida ukishalipia kwa control number unakaa muda gani nipate umeme?
Miezi miwili imekwisha nasubiri ukienda ofisini mkoani wanasema wanashughulikia lakini hawaji kuweka.
Daah wameshakukula kichwa mkuu ungekuta umelipa tu 27,000 ila kama Kwa sasa upo mjini ni mambo ya laki tatu hayo Tena.Mimi naitwa VALENCE CASSIAN KUNDY
NIPO MOSHI
NILIOMBA KUUNGANISHIWA UMEME TOKA MWEZI WA 8 MWAKA JANA NIKAFANYA SURVEY ILA HADI LEO SIJAPATA CONTROL NUMBER NA KIKA NIKIFIKA OFISINI WANASEMA MTANDAO UPI CHINI SIJUI MTANISAIDIAJE?
0755705925
Hapana Hao hawalipii Tena zaidi wanasubiria tu kufungiwa umeme.Ivi wale waliolipia 27,000/: na bdo hawajafungiwa vp,watalazimika kujazia ela au
SenksHapana Hao hawalipii Tena zaidi wanasubiria tu kufungiwa umeme.
Ndugu mpendwa Mteja wetuMsaada control number survey imefanyika tokea December 12, kwa kuwa utaratibu wa malipo ushakua wazi wanaohusika kutoa hizi namba wasicheleweshe tena control number baada ya survey
Je nataka kuweka umme kwenye nyumba yangu je ......kipi nitaanza nacho kati ya kulipia au kumtafuta fund then kufanya WiringNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Tafadhali kamilisha wiring kwanza kwa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa, kisha chukua form ya maombi ya umeme jaza sehemu zako na Mkandarasi atajaza sehemu zake kisha irudishe kwa ajili ya kufanyia tathimini, tutakupimia na kukupatia control namba na kiasi gani cha kulilia.Je nataka kuweka umme kwenye nyumba yangu je ......kipi nitaanza nacho kati ya kulipia au kumtafuta fund then kufanya Wiring
Nahitaji majibu hapo