TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tumepokea taafifa kwa hatua zaidi
Toeni majibu ya kueleweka ,mtu anauliza swali la msingi nyie mmekomaa tu "mmepokea taarifa" ndo jibu gani hilo mnakera kinyama,tunataka kujua tuliolipia 27000 gharama mpya inatuhusu!!? Badala ya kutoa majibu ya kueleweka mnaleta mipasho[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Ambao wameshalipia taratibu za kuwaunganishia huduma zinaendelea ambao bado ndio wataendelea na utaratibu mpya
 
Habari ya majukumu.
Samahani nipo kijijini Same, Mkoa wa Kilimanjaro.
Nimenunua umeme kwa njia ya tigo pesa lakini nikaambiwa natakiwa kupata key change, nikafanya mawsiliano nikapewa
Group 1: 56620623197696102583
Group 2: 68182461861285664826
Kisha nikanunua umeme na kupata token 40928158604785568648
Kila nikijaribu kuingiza key change na token kwenye mita inagoma napata ujumbe 'reject'. Mita ni zile zinazotumia remote.
Tafadhali naomba kupata msaada wenu. Mita Namba ni 37220381471

Asante.
 
Zipo sawa mkuu ingiza kwa uangalifu
 
Waliombali zaid ya mita 120 garama zao hazikuoneshwa mbona? au hawastahili kuunganishiwa umeme
 
TANESCO,
kwa kawaida ukishalipia kwa control number unakaa muda gani nipate umeme?
Miezi miwili imekwisha nasubiri ukienda ofisini mkoani wanasema wanashughulikia lakini hawaji kuweka.
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Ivi wale waliolipia 27,000/: na bdo hawajafungiwa vp,watalazimika kujazia ela au
 
Mimi naitwa VALENCE CASSIAN KUNDY
NIPO MOSHI
NILIOMBA KUUNGANISHIWA UMEME TOKA MWEZI WA 8 MWAKA JANA NIKAFANYA SURVEY ILA HADI LEO SIJAPATA CONTROL NUMBER NA KIKA NIKIFIKA OFISINI WANASEMA MTANDAO UPI CHINI SIJUI MTANISAIDIAJE?
0755705925
 
Daah wameshakukula kichwa mkuu ungekuta umelipa tu 27,000 ila kama Kwa sasa upo mjini ni mambo ya laki tatu hayo Tena.
 
Msaada control number survey imefanyika tokea December 12, kwa kuwa utaratibu wa malipo ushakua wazi wanaohusika kutoa hizi namba wasicheleweshe tena control number baada ya survey
 
Msaada control number survey imefanyika tokea December 12, kwa kuwa utaratibu wa malipo ushakua wazi wanaohusika kutoa hizi namba wasicheleweshe tena control number baada ya survey
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
Je nataka kuweka umme kwenye nyumba yangu je ......kipi nitaanza nacho kati ya kulipia au kumtafuta fund then kufanya Wiring

Nahitaji majibu hapo
 
Tafadhali kamilisha wiring kwanza kwa kutumia mkandarasi aliyesajiliwa, kisha chukua form ya maombi ya umeme jaza sehemu zako na Mkandarasi atajaza sehemu zake kisha irudishe kwa ajili ya kufanyia tathimini, tutakupimia na kukupatia control namba na kiasi gani cha kulilia.
 
Back
Top Bottom