Tafadhali onesha namba ya taarifa na Mkoa husika kwa wepesi wa kuona taarifa zako
Hivi tanesco mnatuchukuliaje sa hizi mbeya jiji kabisa afu umeme unakatika siku nzima watu tunategemea umeme tulate ada j3 watot wanaenda shule mwanjelwa nzima fine hamna umeme mnakata kata tuuu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji3063][emoji3063][emoji3063][emoji3063]
 
Tanesco naomba muulize huku sengerema mwanza kwanini umeme unakatika kila siku hata sasa tupo gizani .
 
Hawa Tanesco wapuuzi tu...hakuna lolote wanalofanya
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
TANESCO naona lile tatizo la kukatakata umeme mara kwa mara kila siku bila taarifa zozote limeanza tena kurejea kwa kasi ya ajabu. Ama ile kauli ya mheshimiwa kuwa mbuzi kula kwa urefu wa kamba yake mmeipa tafsiri tofauti nini!
 
Mkuu sio huko tu ni nchi nzima tuna yooshwa vilivyo na February,majenereta yaliwadodea mno ni muda wa kiyauza sasa.
 
Umeme ni shida kila siku tangazo oooh kuna marekebisho ya njia ya umeme solution ni kuwa na mashirika mengi yanayotoa huduma za umeme km mashirika ya simu tatizo watawala hawawezi kukubali
 
Zile dola milioni 30 alizosainisha January ndo zimeanza kuzaa matunda?

Hiyo pesa ukiamua kuwekeza kwenye kuzalisha umeme, unajenga plant iliyokamilika ya kuzalisha 90MW, kiasi ambacho ukikiingiza kwenye Grid, kinabeba mahitaji yote ya kiumeme ya mikoa kadhaa, yaani hamna hamna mikoa miwili mizima.

January kachukua pesa, kasema wanatengeneza mfumo, hakuna wa kuhoji wala wa kuulizia utekelezwaji wa huo mfumo na unaenda kufanya nini!

Ule mtindo wa kuchukua na hatuoni kinachofanyika, sijui ndo urefu wa kamba au kujipimia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…