Zile dola milioni 30 alizosainisha January ndo zimeanza kuzaa matunda?
Hiyo pesa ukiamua kuwekeza kwenye kuzalisha umeme, unajenga plant iliyokamilika ya kuzalisha 90MW, kiasi ambacho ukikiingiza kwenye Grid, kinabeba mahitaji yote ya kiumeme ya mikoa kadhaa, yaani hamna hamna mikoa miwili mizima.
January kachukua pesa, kasema wanatengeneza mfumo, hakuna wa kuhoji wala wa kuulizia utekelezwaji wa huo mfumo na unaenda kufanya nini!
Ule mtindo wa kuchukua na hatuoni kinachofanyika, sijui ndo urefu wa kamba au kujipimia!