Unadaiwa ya jengo hujanunua miezi zaidi ya sita . Pole kwa kuisoma nambaUmelipa TSh 6,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:54205135483. Muamala: 25472915640. Salio jipya ni TSh 96. Jumla ya Makato TSh 100. (Ada TSh 0, Tozo TSh 0), VAT TSh 15. 25/01/22 21:11.
Naomba msaada tafadhali tokeni hawatoi
Bado wew..ngoja tumtag mweshimiwa instagram tumwambie akutoe na wew hapa kaz hii imekishinda..una majibu ya jumla sana na hujali chochote..ingawa huna lugha mbaya ila una majibu ya jumla snaa...hasira zetu za mambo ya umeme bora tuwaangishie tu hata kama kosa si lenu.Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Mkuu habari,,,Tafadhali tujulishe tatizo ni nini? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
Tunaona wastani wa matumizi yako kwa mwezi ni uleule miezi yote hivyo hakuna tatizo vinginevyo umuite fundi aliyesajiliwa kukagua muliundombinu yako ya umemeMkuu habari,,,
Juzi jioni nimenunua umeme wa 5000 ambazo ni units 14 asubuhi yake Kama saa mbili umeme ukawa umeisha shida sijajua ni nn nipo Mkoa wa mara wilaya ya Tarime namba ya mita ni 37210065324 namba yangu ya simu na maelezo mengine nimekutumia inbox utayaona.
Muliundombinu ndio nini afisa habari wa january!?Tunaona wastani wa matumizi yako kwa mwezi ni uleule miezi yote hivyo hakuna tatizo vinginevyo umuite fundi aliyesajiliwa kukagua muliundombinu yako ya umeme
Unaelimu gan!?Miundombinu yaani mtandao wa nyaya ndani ya nyumba
Nijue kwanza elimu yako!?Karibu tukuhudumie mteja wetu tafadhali
Muliundombinu ndio nin afisa habari mpya!?Tafadhali uliza maswali yanayohusu huduma kwa hatua zaidi.taarifa binafsi sio sehemu sahihi kuulizia hapa.
Tumefanikiwa kuanza kurejesha huduma baadhi ya maeneo ya tandali, Mgeta,Maguruwe Wanapata huduma kwasasaSHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO .
TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MAENEO YA MKOA WA MOROGORO .
Shirika la umeme Tanzania Tanesco Mkoa wa Morogoro linaomba radhi wateja wake kutokana na kukosekana kwa huduma ya Umeme baadhi ya Maeneo ya Mkoa wa Morogoro.
TAREHE:26-01-2022.
Siku:Jumatano.
Sababu: ni kutokana na hitilafu iliyojitokeza katika Miundombinu ya Shirika na kupelekea Maeneo mengi ya Mkoa kukosa huduma ya Umeme.
Maeneo yanakosa huduma ya umeme kwasasa ni pamoja na Mzumbe,Mzinga,SUA,Kididimo,Mlali,Mgeta,Maguruwe,Area 5&6,Kola ,Manyuki na Maeneo mengine yanayotumia laini hiyo
Tahadhari usishike wala kukanyaga nyaya zilizolala chini toa taarifa emergency kupitia namba 0677063001,0684889272 au ...
Uongozi wa Shirika Mkoa wa Morogoro unaomba radhi kwa Usumbufu utakao kuwa umejitokeza.
Tangu Jana nimewaomba msaada lakini mmenipiga chini mpo mnajibu mnaowahtaji au hadi tusubilie msemaji mpyaTumefanikiwa kuanza kurejesha huduma baadhi ya maeneo ya tandali, Mgeta,Maguruwe Wanapata huduma kwasasa
Bado team wanapambana hili huduma iweze kurejea kwa Maeneo yaliyosalia.
Ndugu mpendwa Mteja wetuTangu Jana nimewaomba msaada lakini mmenipiga chini mpo mnajibu mnaowahtaji au hadi tusubilie msemaji mpya