TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Umelipa TSh 6,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:54205135483. Muamala: 25472915640. Salio jipya ni TSh 96. Jumla ya Makato TSh 100. (Ada TSh 0, Tozo TSh 0), VAT TSh 15. 25/01/22 21:11.

Naomba msaada tafadhali tokeni hawatoi
Unadaiwa ya jengo hujanunua miezi zaidi ya sita . Pole kwa kuisoma namba
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
Bado wew..ngoja tumtag mweshimiwa instagram tumwambie akutoe na wew hapa kaz hii imekishinda..una majibu ya jumla sana na hujali chochote..ingawa huna lugha mbaya ila una majibu ya jumla snaa...hasira zetu za mambo ya umeme bora tuwaangishie tu hata kama kosa si lenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenu TANESCO

Nililipa gharama za kuungiwa umeme kutoka mwezi wa 12 mpaka sasa bado sijaungiwa sijui nini kinakwamisha, sehem yangu hapahitaji hata nguzo,just kuunga nyaya basi,

Napatikana Kinyerezi Mwisho, Mtaa wa Kanga, yaani nyuma ya CRDB bank

Namba yangu ya Simu :0766943145
Naomba kuhudumiwa kwa wakati
 
Tafadhali tujulishe tatizo ni nini? Wilaya na namba ya simu kwa hatua zaidi
Mkuu habari,,,
Juzi jioni nimenunua umeme wa 5000 ambazo ni units 14 asubuhi yake Kama saa mbili umeme ukawa umeisha shida sijajua ni nn nipo Mkoa wa mara wilaya ya Tarime namba ya mita ni 37210065324 namba yangu ya simu na maelezo mengine nimekutumia inbox utayaona.
 
Tunaona wastani wa matumizi yako kwa mwezi ni uleule miezi yote hivyo hakuna tatizo vinginevyo umuite fundi aliyesajiliwa kukagua muliundombinu yako ya umeme
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO .

TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME MAENEO YA MKOA WA MOROGORO .

Shirika la umeme Tanzania Tanesco Mkoa wa Morogoro linaomba radhi wateja wake kutokana na kukosekana kwa huduma ya Umeme baadhi ya Maeneo ya Mkoa wa Morogoro.

TAREHE:26-01-2022.
Siku:Jumatano.

Sababu: ni kutokana na hitilafu iliyojitokeza katika Miundombinu ya Shirika na kupelekea Maeneo mengi ya Mkoa kukosa huduma ya Umeme.

Maeneo yanakosa huduma ya umeme kwasasa ni pamoja na Mzumbe,Mzinga,SUA,Kididimo,Mlali,Mgeta,Maguruwe,Area 5&6,Kola ,Manyuki na Maeneo mengine yanayotumia laini hiyo

Tahadhari usishike wala kukanyaga nyaya zilizolala chini toa taarifa emergency kupitia namba 0677063001,0684889272 au ...
Uongozi wa Shirika Mkoa wa Morogoro unaomba radhi kwa Usumbufu utakao kuwa umejitokeza.
 
Tumefanikiwa kuanza kurejesha huduma baadhi ya maeneo ya tandali, Mgeta,Maguruwe Wanapata huduma kwasasa

Bado team wanapambana hili huduma iweze kurejea kwa Maeneo yaliyosalia.
 
Tumefanikiwa kuanza kurejesha huduma baadhi ya maeneo ya tandali, Mgeta,Maguruwe Wanapata huduma kwasasa

Bado team wanapambana hili huduma iweze kurejea kwa Maeneo yaliyosalia.
Tangu Jana nimewaomba msaada lakini mmenipiga chini mpo mnajibu mnaowahtaji au hadi tusubilie msemaji mpya
 
Tangu Jana nimewaomba msaada lakini mmenipiga chini mpo mnajibu mnaowahtaji au hadi tusubilie msemaji mpya
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000
 
Je! Idara ya habari na mawasiliano katika wizara ya nishati inahusika pia na uratibu wa nyuzi zinazolihusu shirika la TANESCO zinazotolewa hapa JF?

Nauliza hivyo kwa sababu kuna taarifa imetolewa kwa umma kwamba kuna "mtumbuo" umefanyika katika idara hiyo. Na sababu iliyopelekea kufanyika kwa jambo hilo ni kuwa idara imekosa watu makini wa kutetea mazuri yanayofanyika hivi sasa ndani ya wizara.

Hakuna mashaka kuwa pengine kuna uthibiti dhaifu unaopelekea kuvuja kwa taarifa za madudu yanayofanyika, na kwa vyovyote vile mashaka kama haya kamwe hayawezi kukwepeka akili mwa watu wadadisi.

Lakini jambo la msingi ninalotaka kujielekeza kwalo ni kwamba, wapo waandishi wa habari wabobezi humu JF ambao wizara inaweza kuwaamini na kuwapa dhamana ya kushika nafasi ya Badra Masoud endapo ataondoshwa katika nafasi yake ya ukuu wa idara.

TANESCO kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom