TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Tafadhali pokea umeme wako ulionunua tarehe 31/01/2022

" 1775-9675-4469-0654-1852"

&

=" 5766-3194-0509-6091-5788"

TANESCO Huduma kwa Wateja

SIMU : 0748550000

Tanesco ahsante ila kweli mpo serious kabisa?
Kuna kitu kimewavuruga sio bure!!

Mbona Tarehe 31/01/2022
Mimi sijanunua umeme?
nadhani hata haijafika pia hiyo Tarehe
Kweli sio Jumatatu ijayo hiyo?

coz ndiyo kwanza Leo Tar 27/01/2022
Kwa hapa nilipo Lakini
Japo sijui kwa wengine huko walipo ni Tarehe ngapi!!!

Binafsi naulizia umeme nilionunua Tarehe 31/08/2021
Kwa mita namba:

43000245977
 
Tafadhali tunaomba radhi ni 2021 na sio 2022,
Ahsante sana kwa kutukumbusha
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji Mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo Nimelipia Kuunganishiwa umeme Toka tarehe 06/11/2021 hapahitajiki hata nguzo lakini mpaka Leo sijafungiwa na pia nilisharipoti Tena hapa lakini bado sijapatiwa ufumbuzi.

Ahsante sana
 
Ndugu Mteja.

Tunakujulisha kuwa ,Wateja wote waliofanya malipo kabla ya mabadiliko ya bei yaliyotangazwa tarehe 5/02/2022 wataunganishwa umeme kabla ya tarehe 30/03/2022. Hakuna ongezeko lolote la gharama wanazopaswa kulipia.

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000
 
Tunasubiri kuona ukweli wa hii kauli.Huku Kibamba tunaambiwa mita hamna,Sasa hiyo Target ya tarehe 30 Machi mtaifikia bila mita?
 
Salamu,nimepiga simu hapa Tabora kuna tatizo Tanesco Wamegoma.Kipindi cha magufuli akiwa hai walikua wanakuja.Hii sio haki
 
Ndugu Mteja.

Tunakujulisha kuwa ,Wateja wote waliofanya malipo kabla ya mabadiliko ya bei yaliyotangazwa tarehe 5/02/2022 wataunganishwa umeme kabla ya tarehe 30/03/2022. Hakuna ongezeko lolote la gharama wanazopaswa kulipia.

TANESCO Huduma kwa Wateja

0748550000
Naomba ufafanuzi kuhusu tarrif

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Salamu,nimepiga simu hapa Tabora kuna tatizo Tanesco Wamegoma.Kipindi cha magufuli akiwa hai walikua wanakuja.Hii sio haki
Wamegomaje? Tafadhali onesha namba ya taarifa, namba ya simu na tatizo kwa hatua zaidi
 
Nilikuwa nataka kupata ufafanuzi wa tariff kuhusu matumizi makubwa na madogo maana niliambiwa kwamba hambadilishi tariff ni kweli au si kweli

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Je uliambiwa na nani? Namba yako ya kita ni ipi tafadhali tukujibu kwendana na taarifa sahihi
 
Niliambiwa na watu wanaokuja kufunga mita kwa hiyo naomba kwanza mnithibitishie hilo kweli si kwelo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Upo utaratibu sahihi wa kuweka wateja kwenye makundi yanaendana na matumizi yao, hivyo haupaswi kuwa na hofu kwa kuwa manunuzi yako yanaonekana kwenye mfumo, Weka namba yako ya mita na swali kuhusu mita yako tafadhali
 
Baada ya kutumia umeme kwa muda gani unaweza kuomba kubadilishiwa tarrif?

Back
Top Bottom