love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Unaelimu gani afsa habari mpya!?Upo utaratibu sahihi wa kuweka wateja kwenye makundi yanaendana na matumizi yao, hivyo haupaswi kuwa na hofu kwa kuwa manunuzi yako yanaonekana kwenye mfumo, Weka namba yako ya mita na swali kuhusu mita yako tafadhali
Mteja anapimwa baada ya miezi mitatu toka aunganishiwe umeme kwa mujibu wa EWURA tarif orderBaada ya kutumia umeme kwa muda gani unaweza kuomba kubadilishiwa tarrif?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hahaha! tukuhudumia, tupi ndio nini?Karibu tukuhudumia, tupi vizuri na weledi mkubwa
Basi nitaenda kuomba huduma hii jirani na ofisi za tanesco nikijibiwa tofauti nitarudi kwenye ukurasa huu.Mteja anapimwa baada ya miezi mitatu toka aunganishiwe umeme kwa mujibu wa EWURA tarif order
Ndio weledi uliokuwa unamaanisha afsa habari mpya!?Tupo
Tafadhali tambua wateja wa vijijini ndio wanaokedhi kundi la matumizi ya D1 yaani chini ua unit 75 kwa mwezi kwa mujibu wa taratibu na muongozo uliopo,Basi nitaenda kuomba huduma hii jirani na ofisi za tanesco nikijibiwa tofauti nitarudi kwenye ukurasa huu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wanaokedhi ndio nini afsa habari!?Tafadhali tambua wateja wa vijijini ndio wanaokedhi kundi la matumizi ya D1 yaani chini ua unit 75 kwa mwezi kwa mujibu wa taratibu na muongozo uliopo,
Kwa hiyo waliopo mijini wasiodhidi unit 75 wanatakiwa kuwa kundi gani?Tafadhali tambua wateja wa vijijini ndio wanaokedhi kundi la matumizi ya D1 yaani chini ua unit 75 kwa mwezi kwa mujibu wa taratibu na muongozo uliopo,
Kundi la T1 woteKwa hiyo waliopo mijini wasiodhidi unit 75 wanatakiwa kuwa kundi gani?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Walioko mijini wanaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi wanatakiwa kua kundi gani?Tafadhali tambua wateja wa vijijini ndio wanaokedhi kundi la matumizi ya D1 yaani chini ua unit 75 kwa mwezi kwa mujibu wa taratibu na muongozo uliopo,
Ambao unit moja wanauziwa sh ngapi?Kundi la T1 wote
Tafadhali fika ofisi za eneo ambalo nyumba husika ipo, omba kufanyiwa Phase upgrading, utapatiwa form ya maombi ya umeme kama kawaida, utaweka mchoro kupitia kwa mkandarasi wako wa umeme kisha utairudisha tutakupimia na kukupatia gharama za kulipia, ukishalipia tutaondoa mita ya njia moja ( Single Phase) na kufunga na njia tatu ( Three phase)Naomba kuuliza, nimeunganishiwa umeme single phase.
Ninataka kuunganishiwa/ nibadili kuwa three phase kwa akiji ya mashine ya kusaga, wire za three phase zipo umbali wa nguzo 10, 1:malipo/makadirio ya gharama yatakuwaje
2:Taratibu za kubadili Single phase kwenda three phase zikoje
Kwa style hii legacy ya Magufuli haitafutwaNajiuliza kama siku za hivi karibuni tulikuwa tunakosa umeme kwa zaidi ya masaa 48, tukidhani ni mgao wa umeme; sasa mgao orijino wa umeme uliotangazwa na viongozi utakuwa wa namna gani?