Maana wasiwasi wangu kweli siku kumi zitatosha? Maana waziri Makamba amekuwa hasimamii kauli zake
Tuliambiwa umeme kukatikakatika mwisho wiki mbili, vinginevyo wahusika watakipata cha mtema kuni. Chakushanga chamtema kuni wamekipata wale ambao hata kujua matumizi ya rangi za nyaya za umeme wanawauliza wenzao kazi yake nini!
 
Mataperi kazini huko stimani hadi magenerator yauzwe yote
 
Dah! Hiyo sentenso ya mwisho nikahisi umeandika "Namba kujiua"! Mpaka nikajiuliza TANESCO imetufikisha huko?
 
Naomba kujua. Siku hizi mna magari yenye namba za kiraia ambazo sio "SU"?
 
Mi naomba kujua natakiwa nifanye Nini Ili kupatiwa Tarrif 1 ikiwa kama form nilishajaza zaidi ya miaka miwili nyuma lakini bado sijapata hiyo huduma.
Meter no 43013519160

Mbezi Mwisho
 
Wanataka tununue majenereta kwa lazima. Mpango wa makamba ndio huo. Shehena ya kutosha ya petrol imeshuka bandarini.

Hivyo Sahau kushuka kwa bei ya petrol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…