Yani huku chang'ombe ndo hatuna umeme toka asubuh mpaka hii saa 5 usiku
Hivi hapa dumila-kilosa mbona kila siku mnakata umemeTutakufungia umeme kabla ya tarehe 30 Machi 2022 tafadhali, Tupo kwenye hatua nzuiri sana.
Ndugu mpendwa Mteja wetuHivi hapa dumila-kilosa mbona kila siku mnakata umeme
Leo hii mshakata tangu sambili hapo kurud paka usiku shida nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Kwa taarifaTutakufungia umeme kabla ya tarehe 30 Machi 2022 tafadhali, Tupo kwenye hatua nzuiri sana.
Mnakata kata sana umeme dumila yaani ni kero sanaNdugu mpendwa Mteja wetu
Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.
Jina
Eneo
Wilaya
Namba ya simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa
Ahsante sana
TANESCO Huduma kwa Wateja
SIMU : 0748550000
Yaani hapa dumila siku hizi umeme ni tatizo sana as if tupo mashambani daahTANESCO ni kweli mmefanya marekebieho ya umeme ila kwa hapa Dumila yaani ni kama hakuna lolote ndani ya siku hizi mbili katakata imezid yaani hapo nyuma tulitulia ila kwa sasa imerudia tena yale yale mfano leo hadi sasa mshakata mara 4 na mkikata mnakaa lisaa mkirudisha ni dk 30 halafu mnakata tena
Hakika wengine tunategemea umeme tuingize pesa ila wanakata kata sana siku hiziTANESCO turudishieni umeme Dumila mnatuua na njaaaaaaaa
Je umelipia lini? Wilaya gani na namba ya simu tafadhaliHabari tanesco?naomba kujua muda mnaotumia kuunganishia wateja umeme baada ya kukamilisha taratibu za malipo?nipo Dsm kibesa mpigi wahusika wa eneo hili ni tanesco kibamba
Tafadhali onesha namba ya simuMkoa: Arusha
Halmashauri: Arusha Jiji
Kata: Sokoni 1
Mtaa: Seinevuno
Karibu na kanisa la ZION TEMPLE
.
Hili eneo tangu usiku wa kuamkia leo hadi sasa, mnakata umeme na kurudisha mara kwa mara,
Na sasa tangu 16:30 Mlipokata mara ya mwisho hadi sasa 21:30 hamrudishi umeme.
Sijui mna maana gani, siku hizi mumekuwa HOVYO SANA.
Ndugu mpendwa Mteja wetuAsubuhi tu ya saa 1 mshakata umeme tena kwa kujikatia na nyie kazi yenu ni kujibu mnafanyia kazi ni kazi ipi hyo mnayofanyia huku hakuna mabadiliko yoyote yale tunayoyaona ? Au mnapenda kulalamikiwa TANESCO
Hawa TANESCO sijui wana nini na hapa dumila kila siku wanakata umeme yaani dumila pamekua pa hovyo sana yaani ni katakata kila siku sijui wana shida ganiTANESCO turudishieni umeme Dumila mnatuua na njaaaaaaaa
1. Kuna hili suala la nguzo za umeme kununuliwa na mteja.Tafadhaki tujulishe ni nini haswa unataka kujua?