Ninauliza Kama mfumo wa Ni-konekti bado unafanya kazi.Mzee wangu alipewa application bill 991033783871 ya TZS515,617.52 jumatano 28/09/2022 saa 9.30 alasiri TANESCO Kibaha na kulipia 29/09/2022 saa 5.30 asubuhi na amepata ujumbe kuwa malipo yake ya kuunganishiwa umeme yamepokelewa kikamilifu,taratibu za ujenzi wa umeme zinaendelea.

Ninaomba kuuliza ni lini atajengewa umeme, kwa maana kwa mujibu wa tangazo la Tenesco, mteja anaweza kuomba na kujengwa ndani ya siku 3
 
Ndugu Mteja!
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, tumepokea taarifa yako kwa hatua za haraka

TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Makao Makuu^IT
 
Naomba kuuliza namna ya kupata nmba za mita za LUKU zilizoibiwa huko Bunju A, aliyeiba ameondoka na kadi zake.
Ndugu mteja
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, tafadhali tusaidia majina kamili yaliyosajiliwa kwenye hiyo mita kwa msaada wa haraka.

TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Makao Makuu
 
Let the parties concerned be notified that we do not have electricity since 2.00 am untill now. Tanesco is in shambles.

Makamba is relaxing in V8 enjoying the fruits of his father's influence.
 
Let the parties concerned be notified that we do not have electricity since 2.00 am untill now. Tanesco is in shambles.

Makamba is relaxing in V8 enjoying the fruits of his father's influence.
Pande zipi huko mzee.... Mbona Mambo ya kawaida kwa sisi wa.......
 
Let the parties concerned be notified that we do not have electricity since 2.00 am untill now. Tanesco is in shambles.

Makamba is relaxing in V8 enjoying the fruits of his father's influence.
Dear Customer

Kindly share location and contact details for an action.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…