Chikuvi2021
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 491
- 551
Ninauliza Kama mfumo wa Ni-konekti bado unafanya kazi.Mzee wangu alipewa application bill 991033783871 ya TZS515,617.52 jumatano 28/09/2022 saa 9.30 alasiri TANESCO Kibaha na kulipia 29/09/2022 saa 5.30 asubuhi na amepata ujumbe kuwa malipo yake ya kuunganishiwa umeme yamepokelewa kikamilifu,taratibu za ujenzi wa umeme zinaendelea.
Ninaomba kuuliza ni lini atajengewa umeme, kwa maana kwa mujibu wa tangazo la Tenesco, mteja anaweza kuomba na kujengwa ndani ya siku 3
Ninaomba kuuliza ni lini atajengewa umeme, kwa maana kwa mujibu wa tangazo la Tenesco, mteja anaweza kuomba na kujengwa ndani ya siku 3