We have had electricity now as of 11.00 morning! But I am not sure how long the light will last!
Mr TANESCO you seem to be uninformed or you have migrated to offshore countries you are asking location where there is blackout (I think its easier to name locations where they get power non stop) things are not Honky Dory.Dear Customer
Kindly share location and contact details for an action.
Mnakunyaaaaa tuDear Customer
Kindly share location and contact details for an action.
Location nini, kila siku arusha unakata saa 3 unarudi saa 12 kamili jioni mnauliza location mnaweza kufanya nini. Bure tu.Dear Customer
Kindly share location and contact details for an action.
Kuna ratiba inayotutaarifu wateja wenu wa Tanga juu ya kukatika katika maeneo mbali mbali. Ratiba hiyo inaonyesha umeme utakatwa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Cha kushangaza leo mmekata kuanzia saa 12:14 asubuhi kinyume na ratiba mliyoisambaza. Mbona mnatusababishia usumbufu usiowalazima?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ndugu MtejaKuna ratiba inayotutaarifu wateja wenu juu ya kukatika katika maeneo mbali mbali. Ratiba hiyo inaonyesha umeme utakatwa kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 12 jioni. Cha kushangaza leo mmekata kuanzia saa 12:14 asubuhi kinyume na ratiba mliyoisambaza. Mbona mnatusababishia usumbufu usiowalazima?
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mikanjuni Transformer.Ndugu Mteja
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, ni kweli huwa tunatoa ratiba ya makatizo ya umeme katika maeneo husika, Tafadhali tunaomba kujua eneo lako ili tuweze fatilia kwa karibu zaidi.
Tafadhali naomba kujuaView attachment 2374116
Haya makato debt collection ni ya nini wkt sijakopa Chochote
Mkurugenzi Mkuu TANESCO.Ndugu Mteja!
Ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu, tumepokea taarifa yako kwa hatua za haraka
TANESCO Huduma kwa Wateja
0748550000
Makao Makuu^IT
Kama mamaakoChadema hata msipopata umeme hamna faida kwenye hii nchi wengi ni wajinga wajinga
Mkuu uliwaongezea kias gan mpaka wakajaMrejesho
Ilinibidi nitoe rushwa baada ya kuzungushwa kama Bahasha bila msaada kwa zaidi ya mwaka na nusu, nilienda mpaka ewura wapi, piga simu kwa hawa Wenye jukwaa hili lkn wapi,ilinibidi nijiongeze na ndipo umeme ulipokuja kufungwa kwa speed ya radi, Bila Rushwa huwezi kufungiwa umeme trust me, ukibisha jaribu uone lakini usisite kuleta mrejesho hapa.
Nchi hii tumekwisha cc kwakweliKodi ya Pango la Aridhi Mzee, Aridhi ulipojenga huo mjengo ni buku buku kila mwezi.
Ndugu MtejaMkurugenzi Mkuu TANESCO.
-Ninauliza kama kuna changamoto na mfumo wa Ni-connect,kwa maana mzee wangu alilipia huduma ya (tarehe 29/09/2022 ) kuunganishiwa umeme,eneo la Mwanalugali, Kibaha, Mkoa wa Pwani lakini mpaka leo,ninapoandika ujumbe huu,hakuna mrejesho na huduma haijatolewa .
-Licha ya kitengo cha huduma kwa wateja Makao Makuu, kusema kuwa shirika litachukua hatua za haraka tarehe 04/10/2022.
Maoni
1). Inavyoonekana kuna wateja wengi waliomba huduma kwa mfumo wa Ni-connect, bado hawajapata huduma au labda ni mzee wangu.
2). Inavyoonekana kuna hujuma za watendaji wako wa chini,dhidi yako,au Waziri mwenye dhamana na umeme au wanamuhujumu Rais wetu.
3).Kama mfumo wa Ni-connect una changamoto ,ni vema wateja wakajulishwa,shirika kimetumia fedha nyingi kulipa wachekeshaji kutoa tangazo, au propaganda badala ya kununua vifaa vya kutoa huduma.
4). Mfumo wa Ni-connect uwe unatoa mrejesho (feedback) pindi mteja anapocheleweshewa kupata huduma ndani ya mudae uliowekwa.
Ushauri.
1). Mamlaka husika sijitafakari na watoe huduma kwa weledi,kama nyenzo zipo.
2). Kama kuna uzembe au wafanyakazi wanataka kuhujuma shirika, wajitafakari.
3). Kama shirika limekuwa kubwa,kiasi kwamba inashindikana kuliongoza,ni vema likagawanywa na kuwa na kampuni tanzu tatu (Generation, transmission na distribution)
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Je ulitoa rushwa kwa nani na kwa huduma gani?Mrejesho
Ilinibidi nitoe rushwa baada ya kuzungushwa kama Bahasha bila msaada kwa zaidi ya mwaka na nusu, nilienda mpaka ewura wapi, piga simu kwa hawa Wenye jukwaa hili lkn wapi,ilinibidi nijiongeze na ndipo umeme ulipokuja kufungwa kwa speed ya radi, Bila Rushwa huwezi kufungiwa umeme trust me, ukibisha jaribu uone lakini usisite kuleta mrejesho hapa.
Kwa waombaji wasio na namba ya NIDA au TIN wanapaswa kuomba kwa kufikia ofisi zetu mpaka pale tutakapokamilisha baadhi ya hatua kuwawezesha kufanya maombi kwa njia ya mtandaoNaomba kuelekezwa kufanya maombi yakupimiwa kwa ajili ya kuingiza umeme katika taasisi( Shule) online
Nikipiga *152*00# pale kwenye madumuni ya umeme inaniletea
1. Makazi
2. Biashara
3. Kilimo
Lkn Taasisi sijaona, Naomba msaada tafadhari. Ahsante