Indoraptor
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 249
- 506
Changamoto zingine tunawaletea DM lakini hakuna majibu Wala kinachoitwa mrejesho.Ndugu mt
Ndugu Mteja
Tumepokea taarifa yako kwa utekelezaji wa haraka^IT
@TANESCOKitengo cha huduma za dharura mkoa WA Dodoma simu hazipokelewi, inasikitisha sana maana ya Emergency kutokupewa umhimu. Mteja anapiga simu zaidi ya masaa mawili simu inaita tu. Ama hizi namba hazifanyi KAZI ?? 026 232 1728
@TANESCO msaada wenu tafadhariNimerudishwa kwenye matumizi makubwa ya umeme, nimezidisha kununua umeme bila kujua maana nilikuwa nalipia kidogo kidogo, nifanyaje ili nirudi kwenye matumizi madogo naomba msaada tafadhari
hii haiwasaidii sana kama hujasema upo eneo gani/mji gani?Umeme umekatwa kila kona
Huu utaratibu wa TANESCO sijui niwa enzi ya Mwalimu yaani huendani na hii karne; Yaani mtu wa kipato cha chini ikitokea akapata mtu wa kumnunulia umeme wa shs 10,000 akatae?Nimerudishwa kwenye matumizi makubwa ya umeme, nimezidisha kununua umeme bila kujua maana nilikuwa nalipia kidogo kidogo, nifanyaje ili nirudi kwenye matumizi madogo naomba msaada tafadhari
Hivi naweza kurudishwa kwenye matumizi madogo kweli? maana hapa nahisi kuchanganyikiwa kabisaHuu utaratibu wa TANESCO sijui niwa miaka 40 iliyopita na ndio wanatumia hadi leo mwaka 2022???
yaani mtu wa kipato cha chini ikitokea akapata mtu wa kumnunulia umeme wa shs 10,000 akatae???
Nafikiri wange forcus kweye matumizi kuliko kiasi mtu alicho nunua
Ulilipa sh ngap?@TANESCO Kwan ntakua gizan mpaka Lin Lakin ?? Miez 6 imeisha tangu nmelipia, sasa mpaka Leo umeme cjaunganishiwa
Mbona hvo Lakin ?
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
sahau kurudishwaHivi naweza kurudishwa kwenye matumizi madogo kweli?