All this ni kwasababu ya asali, ifike mahali hawa mawaziri tuwe tunawapigia kura sisi wananchi na tuwafukuze kazi sisi wenyewe badala ya kupeana hizo nafasi ili walindane
 
Hiyo 'muda huu' ina maana sana. Kwa nini muda ule ukose umeme bila taarifa? Kutwa nzima hakuna umeme, "because of why?" Shida ilikuwa maji sasa mvua zinanyesha, kama shida Kalemani hakukarabati, mama keshakupa trioni 4 ufanye ukarabati, bado umeme umekuwa wa mazingaombwe, mpaka uimbiwe ndo uwake.
Mleta mada nadhan umeskia, maeneo kibao yana umeme hapo dar mda huu
 
Kuna Watu hufikiri Mtaa wanaoishi ndiyo Dar es Salaam peke yake huu umeme umekatika Mtaa wenu tu huku Upanga upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…