infinix2020
Member
- Dec 30, 2020
- 76
- 150
Umetumia njia gani kaka,m niliomba nikonet nikalipa ile 320k baadae wakaja kusema panahitajika nguzo moja,nikaomba kulipia io nguzo hawataki mpka leo wananizungusha tu ,ilikuwa mwaka jana mwezi ya 10.Naomba kuuliza, inachukua muda gani kuunganishiwa umeme ikiwa umelipia kwa gharama ya nguzo 1 ambayo ni TZS 515,615.52 kama sijakosea, mimi nimelipia leo hiyo gharama baada ya mchakato mzima kupitia mfumo wa NIKONEKT.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, utaratibu huo upo, taratibu zake ni kuandika barua na kuipeleka ofisi ya TANESCO ya Wilaya yako, mhasibu atapitia account yako kama unakidhi vigezo na masharti ya kuwepo kwenye matumizi hayo ya chini utaunganishwa na huduma hiyo.^OKUtaratibu wa kubadilishiwa kutoka matumizi makubwa kwenda madogo bado hupo ?
Nimelipia gharama hiyo kwa sababu eneo nililopo halipo kwenye mradi wa REA, so wew nadhani upo kwenye eneo lenye mradi wa REA ambapo TANESCO hawauzi nguzoUmetumia njia gani kaka,m niliomba nikonet nikalipa ile 320k baadae wakaja kusema panahitajika nguzo moja,nikaomba kulipia io nguzo hawataki mpka leo wananizungusha tu ,ilikuwa mwaka jana mwezi ya 10.
Haya Maneno mmeya record kwenye computer!!??Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tumepokea taarifa ya hitilafu kwenye miundombinu ya umeme wataalamu wetu wanafanya jitihada za kurudisha huduma, tunaomba radhi kwa adha zilizo jitokeza.^OK
Ningekuwa kwenye eneo la REA si ningepaswa kulipa 27k kaka, Tanesco wananiambia miezi 3 imepita hivyo hawawezi kunibadilishia control number.. kumbuka nimelipia tangu November.Nimelipia gharama hiyo kwa sababu eneo nililopo halipo kwenye mradi wa REA, so wew nadhani upo kwenye eneo lenye mradi wa REA ambapo TANESCO hawauzi nguzo
Hapo wanaogopa kukuuzia nguzo kwa sababu nguzo haziuzwi, cha kufanya andika barua ya kujicommit kuwa unaitaka nguzo.Umetumia njia gani kaka,m niliomba nikonet nikalipa ile 320k baadae wakaja kusema panahitajika nguzo moja,nikaomba kulipia io nguzo hawataki mpka leo wananizungusha tu ,ilikuwa mwaka jana mwezi ya 10.
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, huduma hiyo bado ipo, lakini inakuwa chini ya miradi ya REA ambao husambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali, kwa walio nje ya miradi au walikosa fursa ya kupata huduma chini ya mradi watalipia bei za viwango vya kawaida vilivyowekwa na TANESCO, gharama halisi mteja atazipata baada ya surveyor kufika na kufanya tathmini kwenye eneo lake.^OK
Mbona niliuliza swali hamjanijibu, inachukua muda gani kuunganishiwa umeme baada ya mteja kulipia kupitia mfumo wa NIKONEKT, mimi nimelipia na status yangu inasoma CONNECTION ARRANGEMENT ON PROGRESS, hivyo nataka kujua hiyo progress inakaa kwa muda ganiHabari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, huduma hiyo bado ipo, lakini inakuwa chini ya miradi ya REA ambao husambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali, kwa walio nje ya miradi au walikosa fursa ya kupata huduma chini ya mradi watalipia bei za viwango vya kawaida vilivyowekwa na TANESCO, gharama halisi mteja atazipata baada ya surveyor kufika na kufanya tathmini kwenye eneo lake.^OK
Kwanini aache unafiki mkuu?acha unafiki
Nijiongeze kwamba....Jiongeze
Je! Nawezaje kujua deni la Kodi ya ardhi/ nyumba ninalodaiwa coz ......nmeunganishiwa Umeme mwezi wa pili mwaka huu .....Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tumepokea taarifa ya hitilafu kwenye miundombinu ya umeme wataalamu wetu wanafanya jitihada za kurudisha huduma, tunaomba radhi kwa adha zilizo jitokeza.^OK
Au ndio maana najaribu kununua wa 3000 inagoma?Mbona makato ya Deni yamekuwa makubwa hivi kutoka 1000 hadi 6000 na hakuna taarifa inayoeleweka customer care wakipigiwa Simu awapokei .Ni nini kinaendelea ?
It means unadaiwa pesa kubwa .....than uliyowekaJamani nanunua umeme wa 3000 kwenye mita 43000046003 lakini malipo yanakataa shida Nini naambiwa fedha zimerudishwa kwenye akaunti.