infinix2020
Member
- Dec 30, 2020
- 76
- 150
Naomba kuuliza, inachukua muda gani kuunganishiwa umeme ikiwa umelipia kwa gharama ya nguzo 1 ambayo ni TZS 515,615.52 kama sijakosea, mimi nimelipia leo hiyo gharama baada ya mchakato mzima kupitia mfumo wa NIKONEKT.