TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Naomba kuuliza, inachukua muda gani kuunganishiwa umeme ikiwa umelipia kwa gharama ya nguzo 1 ambayo ni TZS 515,615.52 kama sijakosea, mimi nimelipia leo hiyo gharama baada ya mchakato mzima kupitia mfumo wa NIKONEKT.
 
Umetumia njia gani kaka,m niliomba nikonet nikalipa ile 320k baadae wakaja kusema panahitajika nguzo moja,nikaomba kulipia io nguzo hawataki mpka leo wananizungusha tu ,ilikuwa mwaka jana mwezi ya 10.
 
Utaratibu wa kubadilishiwa kutoka matumizi makubwa kwenda madogo bado hupo ?
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, utaratibu huo upo, taratibu zake ni kuandika barua na kuipeleka ofisi ya TANESCO ya Wilaya yako, mhasibu atapitia account yako kama unakidhi vigezo na masharti ya kuwepo kwenye matumizi hayo ya chini utaunganishwa na huduma hiyo.^OK
 
Umetumia njia gani kaka,m niliomba nikonet nikalipa ile 320k baadae wakaja kusema panahitajika nguzo moja,nikaomba kulipia io nguzo hawataki mpka leo wananizungusha tu ,ilikuwa mwaka jana mwezi ya 10.
Nimelipia gharama hiyo kwa sababu eneo nililopo halipo kwenye mradi wa REA, so wew nadhani upo kwenye eneo lenye mradi wa REA ambapo TANESCO hawauzi nguzo
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tumepokea taarifa ya hitilafu kwenye miundombinu ya umeme wataalamu wetu wanafanya jitihada za kurudisha huduma, tunaomba radhi kwa adha zilizo jitokeza.^OK
Haya Maneno mmeya record kwenye computer!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Nimelipia gharama hiyo kwa sababu eneo nililopo halipo kwenye mradi wa REA, so wew nadhani upo kwenye eneo lenye mradi wa REA ambapo TANESCO hawauzi nguzo
Ningekuwa kwenye eneo la REA si ningepaswa kulipa 27k kaka, Tanesco wananiambia miezi 3 imepita hivyo hawawezi kunibadilishia control number.. kumbuka nimelipia tangu November.
Na hela ikishaingia hawezi kuirudisha, hapa nasubiri miujiza tu kama kufuatilia nimefuatilia mpk nimechoka sasa.
 
Umetumia njia gani kaka,m niliomba nikonet nikalipa ile 320k baadae wakaja kusema panahitajika nguzo moja,nikaomba kulipia io nguzo hawataki mpka leo wananizungusha tu ,ilikuwa mwaka jana mwezi ya 10.
Hapo wanaogopa kukuuzia nguzo kwa sababu nguzo haziuzwi, cha kufanya andika barua ya kujicommit kuwa unaitaka nguzo.
Barua yako iwe na anuani hizi
1.Meneja wa TANESCO
2.Mtendaji wa Kata
3.Mtendaji wa Kijiji
4.Mwenyekiti wa mtaa/Kitongoji
ambapo utaomba YAH: MAOMBI YA KUUNGANISHIWA HUDUMA YA UMEME KWA GHARAMA YA KAWAIDA. Kisha ipeleke TANESCO
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, huduma hiyo bado ipo, lakini inakuwa chini ya miradi ya REA ambao husambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali, kwa walio nje ya miradi au walikosa fursa ya kupata huduma chini ya mradi watalipia bei za viwango vya kawaida vilivyowekwa na TANESCO, gharama halisi mteja atazipata baada ya surveyor kufika na kufanya tathmini kwenye eneo lake.^OK

TANESCO RUDISHENI UMEME MIKOCHENI
TUANGALIE TIMU YETU YA YANGA

SIJAONA TANGAZO LOLOTE LA KUKATA UMEME TOKA ASUBUHI. This is unfair [emoji107]
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja na pole kwa changamoto, huduma hiyo bado ipo, lakini inakuwa chini ya miradi ya REA ambao husambaza umeme kwenye vijiji mbalimbali, kwa walio nje ya miradi au walikosa fursa ya kupata huduma chini ya mradi watalipia bei za viwango vya kawaida vilivyowekwa na TANESCO, gharama halisi mteja atazipata baada ya surveyor kufika na kufanya tathmini kwenye eneo lake.^OK
Mbona niliuliza swali hamjanijibu, inachukua muda gani kuunganishiwa umeme baada ya mteja kulipia kupitia mfumo wa NIKONEKT, mimi nimelipia na status yangu inasoma CONNECTION ARRANGEMENT ON PROGRESS, hivyo nataka kujua hiyo progress inakaa kwa muda gani
 
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tumepokea taarifa ya hitilafu kwenye miundombinu ya umeme wataalamu wetu wanafanya jitihada za kurudisha huduma, tunaomba radhi kwa adha zilizo jitokeza.^OK
Je! Nawezaje kujua deni la Kodi ya ardhi/ nyumba ninalodaiwa coz ......nmeunganishiwa Umeme mwezi wa pili mwaka huu .....

Wakanipa unit 10 .......then after few days nikanunua Umeme wa 5000......wakakata 3000

Nikanunua 5000 Tena ......wakakata 3000

Kila mwezi nanunua but .....wanakata pesa

Mwezi wa tano nmenunua wa 10000
Wakanipa unit 11 instead of 28....
 
Mbona makato ya Deni yamekuwa makubwa hivi kutoka 1000 hadi 6000 na hakuna taarifa inayoeleweka customer care wakipigiwa Simu awapokei .Ni nini kinaendelea ?
 
Tanesco Kigamboni asanteni sana kwa new Transformer, Umeme Sasa umetulia hadi rahaa hongereni sana kwa kazi nzuri japo tumeteseka kwa muda wa Kama mwezi hivi!!
 
Jamani nanunua umeme wa 3000 kwenye mita 43000046003 lakini malipo yanakataa shida Nini naambiwa fedha zimerudishwa kwenye akaunti.
 
TRA na wizara ya ardhi wameweka takataka zao kibao kwenye LUKU hata ukipiga customer care watakurudisha au watatupa mpira kwenye h
 
Back
Top Bottom