Wewe kwanini unataka watofautishe?Kwanini umehusisha hili suala na Imani na Mungu?
Kwa sababu imani na dini haina impact yoyote kwenye uzalishaji na usambazaji umeme.Wewe kwanini unataka watofautishe?
Ukiwa na Imani hata ndogo Kama punje huwezi kuchezea switch Kama watotoKwa sababu imani na dini haina impact yoyote kwenye uzalishaji na usambazaji umeme.
Wewe kwa nini umeuliza?
Hivi sasa hivi kuna mgao unaendelea nchini? Maana maeneo ninayoishi shinyanga kila jumapili saa moja kasoro umeme unakatika kurudi sijui saa ngapi maana inakuwa usiku mwingiAsante tumelipokea na tutalifanyia kazi
Nipo shinyanga hapa sasa hivi wamekata kurudi majaliwaYaani nimekuwa maeneo kadhaa ya nchi kwa wiki hii toka Arusha Tanga Mpaka Mbeya umeme ni shida baadhi ya maeneo wanakata asubuhi mpaka saa tano usiku, na hio ni ratiba ya kila siku hawana Jumapili, Jumamosi, wala Ijumaa na kibaya kuliko vyote ni waongo kama kuna mgao waseme ili wagawe kwa ratiba maalum hii ni aibu ya shirika kwa Taifa. Kuweni wa kweli hata kwa sekunde moja
Yamekuwa hayo ya dini tenaJanuary Hayupo mumtukane mgalatia mwenzenu sasa tuone majinga nyie
Ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi, na pole sana kwa usumbufu mnaopitia kwa sasa, tumepokea taarifa ya hitilafu kwenye line mkuu mkoa wa shinyanga, hivyo ina lazimika kuzima kwa awamu kupisha matengenezo kwenye miundombinu ya umeme,Tunawaomba radhi kwa adha yeyote mliyopitia wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kutatua tatizo ^EBHivi sasa hivi kuna mgao unaendelea nchini? Maana maeneo ninayoishi shinyanga kila jumapili saa moja kasoro umeme unakatika kurudi sijui saa ngapi maana inakuwa usiku mwingi
Ifakara kata gani mkuu [emoji1787]KUNA FUNDI LENU LA TANESCO HUKU IFAKARA LILA RUSHWA NIMELIBANABISHA MA TAKUKURU HADI LITAOMBA POOH MWAKA HUU LILIZOEA KUWAIBIA WATU KWA KUOMBA RUSHWA NDO LITOE HUDUMA LINAITWA ROBERT MPEHO LITAKUWA FUNZO KWA WENGINE HAPO TANESCO KWA KUOMBA RUSHWA.
Hawaangalii siku za kuabudu umeme unahitajika sanaKwanini umehusisha hili suala na Imani na Mungu?