TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Aisee wafanyie kazi haraka hilo tatizo liishe. Huwa inakera sana kukuta mtu una marejesho, una kodi za TRA, Manispaa, nk. Halafu umeme nao uwe una katika katika tu hovyo!
 
Tulieni hivyo hivyo kwanza ,,CCM mbele kwa mbele , wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo sana
Huyu mama mbunge ndiyo hamna kitu bora hata upinzan, yeye badala ya kuishauri na kuongelea changamoto za jimbo lake bungen, yupo busy kutetea serikali na kusifia mkataba wa bandari!
 
[mention]TANESCO [/mention] Ninaomba kuuliza,hivi siku hizi kuna mgao wa umeme?maana huku Sikonge Tabora kila siku umeme unakatika asubuhi unarudi saa 12 jioni siku nzima tunashinda bila umeme.
 
MAR082023CR-0003, jamani sipati majibu yakaribia Mwezi sasa. Nimeungiwa umeme lkn nimeanzia na tariff 2 badala ya kuanza na 1 kwa nini wkt wengine wameanzia 1 ila ukiwa na matumizi makubwa ndo unaenda tariff 2 inakuwaje hii?
 
Tanesco mtufahamishe kama kuna mgao! Sisi ni Wateja wenu! Tunanunua umeme hatupewi bure! Huku Mnazi lushoto tanga kila siku umeme unakatwa saa 11 jioni nakurudishwa saa 9 usiku! Mgao gani huu
 
Dah, sie Iringa nako kila siku
 
Attachments

  • IMG-20230908-WA0010.jpg
    IMG-20230908-WA0010.jpg
    54.3 KB · Views: 9
hangamoto na maoni yetu kwa tanesco head office na body ya shirika mlikuwa na lengo zuri la kushirikisha sekta binafsi wakandarasi wafanye kazi ya kusambaza umeme na matengenezo ili kunga wateja kwa Kasi na tanesco muze umeme watumie wateja na kukusanya mapato Kodi ya serikali. kila mkoa tanesco ili watoe izo Kaz sio wazifanye wao kwasababu shirika lingie ktk ushindani wa kibiashara technology kuondoa urasimu na ukilitimba. changamoto iliopo baada kutoa vifaa na gari official kwa wakandarasi ili wawasimae wakandarasi kwa mkataba wa muda na utekelezaji wa sekta binafsi wa manage muda wao badala kusimamiwa kiutawala wawe chini foreman atoe vifaa saa nne au kutwa na kugombania gari Kati tanesco na wakandarasi ilo linaleta delaye of time and plan kupoteza ufanisi na kuongeza wateja ili wautumie Mimi. ilo tunaomba wataalamu walisimamie kwa kuelewa sekta binafsi wakandarasi ni tofaut na sekta serikali. sekta binafsi wakandarasi kazi zao za malengo na kuzingatia muda na mapato na kulipa Kodi sekta binafsi ndio walipa Kodi .
 
Mpo tayari kuuziwa UNIT kwa tsh2500?
 
[mention]TANESCO [/mention] hii ni too much,wilaya ya Sikonge Tabora mnachotufanyia sio sawa kila siku asubuhi mnaukata hadi jioni saa 12,asubuhi asubuhi bila hata salamu mmeshakata.
 
Back
Top Bottom