Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Changamoto bado haijaisha ata Leo ijumaa imetokea sasa mnatusaidiaje wajasiriamali wadogo tunaoendelea kuitaji huduma ya hii nishati kitendo cha umeme kukata tangu saa moja kurudi saa kumi na mbili na nusu mmbo mengi yanakua yashafeli zamani mlikua mkitoa taarifa ktk vyombo vya habari kuanzia mda fulani mpk mda fulani hakutakua na huduma ya nishati kutokana na marekebisho lakini sasa mnakata bila hata mpango ata matangazo hakuna mwisho tunabaki hatuelewi wapi pakusimama zaidiHabari ndugu Fabiani asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kufahamu kama bado mnapata changamoto hiyo kwakuwa wataalamu wetu walifanyia kazi changamoto zilizo jitokeza maeneo hayo, kama bado changamoto ipo tafadhali tunaomba mtufahamishe tufanye ufuatiliaji zaidi.^OK