TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Habari ndugu Fabiani asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kufahamu kama bado mnapata changamoto hiyo kwakuwa wataalamu wetu walifanyia kazi changamoto zilizo jitokeza maeneo hayo, kama bado changamoto ipo tafadhali tunaomba mtufahamishe tufanye ufuatiliaji zaidi.^OK
Changamoto bado haijaisha ata Leo ijumaa imetokea sasa mnatusaidiaje wajasiriamali wadogo tunaoendelea kuitaji huduma ya hii nishati kitendo cha umeme kukata tangu saa moja kurudi saa kumi na mbili na nusu mmbo mengi yanakua yashafeli zamani mlikua mkitoa taarifa ktk vyombo vya habari kuanzia mda fulani mpk mda fulani hakutakua na huduma ya nishati kutokana na marekebisho lakini sasa mnakata bila hata mpango ata matangazo hakuna mwisho tunabaki hatuelewi wapi pakusimama zaidi
 
Habari ndugu Fabiani asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo, tunapenda kufahamu kama bado mnapata changamoto hiyo kwakuwa wataalamu wetu walifanyia kazi changamoto zilizo jitokeza maeneo hayo, kama bado changamoto ipo tafadhali tunaomba mtufahamishe tufanye ufuatiliaji zaidi.^OK
Sasa kuna kufahamisha zaidi ya alichofanya hapa ?

Hivi kweli wewe ni mtu au no BOT / AI inajibu tu inavyojisikia..., nadhani huo muda wa kujibu kama fundi angeshaenda na kufanya yake huu uzi ungejaa pongezi badala ya lawama
 
Sawa chief umesomeka
 
Kwa sasa tuki wauliza mnakata umeme kwa sababu gani hamiwezi kutupa majibu kwa maana hakuna mvua wala nini ila ziaidi ni upuuzi unaoendelea na ushamba mwingi
 
Ushauri uongozi wa tanesco makao makuu pamoja bodi.ya tanesco

Awali ya yote ni kumshuru mwenyemungu kwa kujalia afya njema
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania !

Nitachotaka kushauri tanesco na bodi ya kuchua hatua na kuweka mipango mizuri kwa makandasi wanaopewa kazi na tanesco kumekuwepo na changamoto nyingi katika kufanya kazi za tanesco katika mikoa mbalimbali hapa nchin na wanaokwamisha ufinisi ni tanesco wenyewe kazi ya kufanya wiki unaweza chukua hata miezi 2 kutoa vifaa kazi kwa ajili ya kazi zao ni changamoto .

Ushauri wangu kwa tanesco makao ni kuwa na gari maalum kwa kazi mnatoa kwa ajili makandasi ili aweze kumaliza kazi kwa wakati na mda ulipagwa na inavyooenakana wafanyakazi wa tanesco hawajui wajibu wao. Hii inaekana pale tanesco bahi na maeneo mwengine ya nnchi tanesco yeyewe katika maeo haya ndio wamekuwa wakwamisha miradi katika mikoa ishanyike kwa wakati .

Kwa ushahihi Zaid maharage chande nakushauri andaa kikao Cha makandarasi wa umeme usikie changamoto watazopata kutoka kwa tanesco wenyewe na wafanyakazi hawatoi ushirikiano staiki wa wakandarasi kwa mekuwa ni vikwanzo na kutaka virushwa kwenye miradi kazi za kandarasi nyie mko juu huko sisi tuyaona
 
Naomba mawazo yenu kwa tatizo hili: natumia unit 8 kutwa.

Nina frigdge moja ndogo, taa energy saver kama 5 zinawaka saa 12 a day, tv mbili zinatumika kama saa 5 a day, . Nadhani unit 8 a day huu ni umeme mwingi ninao tumia.

Tatizo linaweza likawa wapi? Nimeleta fundi akacheki wiring akasema iko vizuri.

Ushauri tafadhali.

Asante
Ushauri kwanza nipe hesabu ya kila kifaa Kama ifuatavyo nikupe hesabu ya unit zako na Kama lipo tofaut na matumizi tatizo litakuwa earthing stystm automatically nipe kila energy save moja ni watt ngapi na tv moja ni watt ngapi na frij ni watt ngapi soma kila kifaa chako kimeandikwa Apo
 
TANESCO mnatuongezea wezi mitaani.
Nishati ya umeme iliwahifadhi vijana kwenye ajira zisizo rasmi leo hii vijana siku tatu hawajafanya kazi na mnawawekea giza watuibie.
 
TANESCO mnatuongezea wezi mitaani.
Nishati ya umeme iliwahifadhi vijana kwenye ajira zisizo rasmi leo hii vijana siku tatu hawajafanya kazi na mnawawekea giza watuibie.
😂😂😂Mlinzi wa kwanza ni ww mwenyew chief asikar wasio na akili huenda na kauli mbiu iyo Kisha unashurutishwa kwa nguvu uku bado uko kwenye haki hivyo. Tanesco nao wao wako hivyo wanapiga winga tu wananchi
 
Hapa kuna ukweli, maana umeme ukiwepo vijana wanakuwa na mawazo ya kubeti na kucheza dubwi, sasa vijana wanapokosa nishati muhimu kama umeme si watatuibia mchana kweupe maana hakuna kitu cha kuwakipu bizy.
TANESCO mnatuongezea wezi mitaani.
Nishati ya umeme iliwahifadhi vijana kwenye ajira zisizo rasmi leo hii vijana siku tatu hawajafanya kazi na mnawawekea giza watuibie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli kwa mtaa wangu temeke 23 leo sina budi kuwasifia na kuwashukuru sana umeme kukatika ni mala chache sana na yenyewe kuna shida kubwa shukran sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
TANESCO habari za usiku huu! Mimi niwapongeze sana kwa Kazi nzuri ya kukata umeme kila siku Mkuyuni Mwanza,kwa kweli hapo nawasifu hamfanyi makosa kabisa kama leo tokea saa 06:00Hrs mpaka saivi haujarudi,,mimi nasema chapeni Kazi acheni tulale kiza na tuamke kiza maana ndio furaha yenu. Usiku mwema
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimejikuta nacheka kwa sauti
 
Back
Top Bottom