Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mji wote au hao watu wenye kutakiwa kuwajibika?Kaka mimi nipo Iringa.. ni mji una akili za akina amber rutty..
Mji wotee..Mji wote au hao watu wenye kutakiwa kuwajibika?
Na wewe umo humohumo!?😂😂😂Mji wotee..
Wapumbavu
ni shida mkuuAisee wafanyie kazi haraka hilo tatizo liishe. Huwa inakera sana kukuta mtu una marejesho, una kodi za TRA, Manispaa, nk. Halafu umeme nao uwe una katika katika tu hovyo!
Huyu mama mbunge ndiyo hamna kitu bora hata upinzan, yeye badala ya kuishauri na kuongelea changamoto za jimbo lake bungen, yupo busy kutetea serikali na kusifia mkataba wa bandari!Tulieni hivyo hivyo kwanza ,,CCM mbele kwa mbele , wapinzani walikuwa wanachelewesha maendeleo sana
Pole[mention]TANESCO [/mention] Ninaomba kuuliza,hivi siku hizi kuna mgao wa umeme?maana huku Sikonge Tabora kila siku umeme unakatika asubuhi unarudi saa 12 jioni siku nzima tunashinda bila umeme.
Dah, sie Iringa nako kila sikuTanesco mtufahamishe kama kuna mgao! Sisi ni Wateja wenu! Tunanunua umeme hatupewi bure! Huku Mnazi lushoto tanga kila siku umeme unakatwa saa 11 jioni nakurudishwa saa 9 usiku! Mgao gani huu
Mpo tayari kuuziwa UNIT kwa tsh2500?hangamoto na maoni yetu kwa tanesco head office na body ya shirika mlikuwa na lengo zuri la kushirikisha sekta binafsi wakandarasi wafanye kazi ya kusambaza umeme na matengenezo ili kunga wateja kwa Kasi na tanesco muze umeme watumie wateja na kukusanya mapato Kodi ya serikali. kila mkoa tanesco ili watoe izo Kaz sio wazifanye wao kwasababu shirika lingie ktk ushindani wa kibiashara technology kuondoa urasimu na ukilitimba. changamoto iliopo baada kutoa vifaa na gari official kwa wakandarasi ili wawasimae wakandarasi kwa mkataba wa muda na utekelezaji wa sekta binafsi wa manage muda wao badala kusimamiwa kiutawala wawe chini foreman atoe vifaa saa nne au kutwa na kugombania gari Kati tanesco na wakandarasi ilo linaleta delaye of time and plan kupoteza ufanisi na kuongeza wateja ili wautumie Mimi. ilo tunaomba wataalamu walisimamie kwa kuelewa sekta binafsi wakandarasi ni tofaut na sekta serikali. sekta binafsi wakandarasi kazi zao za malengo na kuzingatia muda na mapato na kulipa Kodi sekta binafsi ndio walipa Kodi .
Nani kakuuzia Bei juu ndugu mteja?Kwann mtuuzie nguzo Bei kubwa huku mnanunua kwa wakulima Bei rahisi
Bei ya Sasa ni ngapiNani kakuuzia Bei juu ndugu mteja?
Taja mahali ulipo tafadhari wahudumu wetu wapo tayari kukuhudumia
Taja mahali ulipo tafadhari wahudumu wetu watakusaidia ndugu mtejaBei ya Sasa ni ngapi