Nina nunua unit za luku kwa njia ya simu lakini kila nikiweka tokeni naambiwa imeishatumika wakati salio bado lin asoma 0.0, tatizo ni nini tanesco? Naombeni msaada wenu tafadhali. Zingatia nimenunua zaid ya mara 3 suala liko pale pale.
Siku ya pili leo nalala bila umeme.
 
Kwa kuwa ile tozo ya kusaidia REA bado inakatwa kwa wateja wakinunua umeme;
Ikiwapendeza mngerudisha umeme wa REA watu masikini wafungiwe hata kwa shs 50,000=
Kufungia masikini umeme kwa shs laki tatu (300,000) ni sawa na kumuambia auze magunia 6 ya mahindi kitu ambacho kwa kilimo cha mkono ni kama kusema haiwezekani
 
You guys are straight up trash offering shitty services.

Quintessential bush league third world/ third rate service.

Mna website ambayo bure kabisa.

Features hazifanyi kazi.

Kwa nini msilifunge tu hilo litovuti lenu?

Majuha kabisa nyie 🖕🖕🖕
 
Hivi baadhi ya hao surveryors wenu mnawaokota wapi? It is disgusting.

Kajamaa kapumbavu sana ,kamepima kamekosea ramani nimeletewa control number nikalipa 320,960 tena hiyo ni baada ya kupita zaidi ya wiki mbili nimefika ofisini ndio napata control number.

Wamekuja mqfundi kufunga naambiwa ramani imekosewa inahitajika nguzo nawauliza inaweza kuchukua muda gani naambiwa siku yoyote ! Kweli nyinyi ni shirika la umma na mnatoa huduma au mnafanya biashara.??

Nikaenda ofisini naambiwa ni kweli natakiwa kuongeza pesa kwa ajili ya nguzo ila nguzo hazijulikani zitakuja lini sababu hakuna material ya kutengeneza nguzo! (Hapa ilikuwa inatengenezwa mazingira nitoe rushwa)

Tanesco hivi kweli nyie mnatoa huduma na ni shirika la umma?

Ofisi unafika wanakuangalia tu wako busy kuperuse mitandao , hivi mnaonaje mkianza kulipwa kwa task ,bila kukamilisha task msilipwe maana hii ya mtu kujua mshahara upo ndio dharau na uzembe unapoanza.


Je ni kweli nchi imeishiwa nguzo/material ya kutengeneza nguzo ?

Hawa surveryors kama haka kapuuzi huwa mnawapataje ? Maana unaweza mkata mtu makofi analeta mzaha kwenye issue serious na zenye time frame .


TANESCO naombeni majibu ya maswali yangu.
 
Mkuu ukweli hawa watu ni zaidi ya majuha imagine hadi sqsa hakuna respojse yoyote na wapo humu.

Yaani mtu unalipia huduma 500k+ ambayo itaraise revenue ya shirika unakuta kidada kimekalia kiti kinazunguka na kuchat kwa Wi-Fi inayolipiwa kodi na sisi hao hao kinajibu nguzo hatujui zitakuja lini.

Hivi kukata miti ya nguzo na kuifanyia treatment ni rocket science?
 
Juzi nilinunua umeme lakini sikurudishiwa token. Nimesubiri siku mbili nzima wapi!

Leo nikatinga ofisini kwao. Ndo wakaniandikia tokens kwenye hichi kikaratasi!!

Huduma kwa wateja ni changamoto kubwa sana nchini!

 
Juzi nilinunua umeme lakini sikurudishiwa token. Nimesubiri siku mbili nzima wapi!

Leo nikatinga ofisini kwao. Ndo wakaniandikia tokens kwenye hichi kikaratasi!!

Huduma kwa wateja ni changamoto kubwa sana nchini!

View attachment 2822592
Aibu tupu yani watu tunapambana kutoka kwenye makaratasi wao hawaona hata haya kuturudisha huko.!

Hili shirika linahitaji mwendo wa mchaka mchaka tu wala sio vinginevyo
 
Habari ndugu Colonel McCoy, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo tunaomba namba ya ombi la umeme au namba ya simu uliyo tumia kufanya maombi hayo ya umeme kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
 
Habari ndugu Colonel McCoy, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo tunaomba namba ya ombi la umeme au namba ya simu uliyo tumia kufanya maombi hayo ya umeme kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
Hata mimi nina mwezi nimeshalipia ila wanasema nguzo hamna miti haijakomaa sasa sijui lini hizo nguzo zitafika

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mimi jana nilinunua umeme Tshs 10,000/=
Nikapata unit 23 Leo nimenunua nikapata unit 28 kulikoni inakuwa panda shuka namna hii
 
Mimi jana nilinunua umeme Tshs 10,000/=
Nikapata unit 23 Leo nimenunua nikapata unit 28 kulikoni inakuwa panda shuka namna hii
Habari ndugu mteja asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tunaomba namba ya mita kwa ufuatiliaji zaidi tafadhali.^OK
 
Mimi Ujumbe wangu kwa Tanesco ni Kwamba inaonesha shirika limewashinda tu !

How come wenzetu teknolojia zimekuwa na nyinyi hamuendi Ku Acquire knowledge...yaani mpaka hatuelewi Mvua zote hizi zilizonyesha na Still Umeme unakatika kifalafala Kila Siku na ni aibu kwa Mji kama Dar es salaam tena Ilala.

Istoshe mifumo yenu ya Taarifa ni finyu kabisa.....Mtu upo kwenye uzalishaji Mali kwa kutumia Umeme unastukia tu Pap!! Wamekata .

TANESCO BURE KABISA!!
 
Habari ndugu Colonel McCoy, asante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto hiyo tunaomba namba ya ombi la umeme au namba ya simu uliyo tumia kufanya maombi hayo ya umeme kwa ufuatiliaji zaidi.^OK
Mjomba angu ameshalipia nguzo ipo ila kwenye kumuunganishia imekua shida, Wakati Kuna jirani yake kalipia Mbele yake baada ya siku moja kaunganishiwa fasta kuweni Fair.
 
Iv dawati la dharura la kila mkoa naomba namba ya emergency mkoa wa simiyu
 
Kwani Tanesco call centre yao huwa inafanya kazi ,mbona wanakuchezesha muziki then wanakata.Jamani sisi wakazi wa mbezi beach Leo tarehe 2 Dec hatuna umeme kuanzia saa 1 asubuhi mpaka sasa sa 1.30 jioni haujarudi huu ni mgao au tatuzo
 
Huku Mvumi msimu wa masika pia ni msimu wa kukatika umeme.Tatizo lile lile kila mwaka
 
TANESCO KINYEREZI MNASHIDA GANI MBONA MNAKATA UMEME OVYO MNATUFELISHA AU BADO KUNA UKAME AU GAS IMEKUA NYEPEZI MNAZINGUA BWANA SASA LEO KINYEREZI MIDA HII HAKUNA UMEME LISAA SASA HUU SI UJINGA HUU [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Mvua zinanyesha mpaka mafuriko bado mnakata umeme? Mna roho mbaya sana kuliko kiumbe chochote hapa duniani.

Tatizo hapa ni kwamba, hawa TANESCO hawatowi taarifa kwa Umma ikielezea chanzo na sababu ya kukatika umeme mara kwa mara. Na hii inapelekea kwa wateja kuwa na dhana potofu kwa TANESCO.
 
Nimebadilishiwa mita tangu tarehe 25 Nov'23 lakini hadi leo mita mpya Na. 24316665157 haiwezi kuingiza token na hivyo niko gizani kwa zaidi ya siku 10; Na. ya taarifa karibuni ni 4568614, kama kuna malipo niambieni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…