Muwa mtamu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 847
- 1,599
Boss umeenda Tanesco wanasemaje?Nimebadilishiwa mita tangu tarehe 25 Nov'23 lakini hadi leo mita mpya Na. 24316665157 haiwezi kuingiza token na hivyo niko gizani kwa zaidi ya siku 10; Na. ya taarifa karibuni ni 4568614, kama kuna malipo niambieni
Wapewe DP worldUzeni shirika, halina msaada kwa wananchi.
Wapewe tu dp hamna namnaWapewe DP world