Sasa si Bora nyie wenzetu unafractuate lakin mnao , wenzenu tuna mwezi sasa mchana hatuna umeme unawaka usiku unakatika saa 1 asubuhi.
Mvua zimenyesha nchi nzima hakuna isiponyesha,hivi walishatoka hadharani hata mara moja kufafanua sababu za kadhia hii?

Maana tumezoea mara zote wakituambia ni upungufu wa maji kwenye vyanzo vya nishati sasa mara hii vipi?
 
Mama kavunja "BODI".. Yajayo yanafuraisha
 
Ni maoni yangu hii thread ya tanesco ifutwe maana Haina maana kwa watanzabia zaidi ya kero tu
 
Hawa ndiyo umbwa halisi
 
Sasa wewe ndio mmoja wa wasiojielewa ambaye unashindwa ata kujuwa "Power Fluctuation" alafu unasema wenzio.
WE MILEMBE INAKUHUSU.
Na unasema ongera CCM..? ( kama sio "JANI" linazungumza basi sijuwi nini
Msome katikati ya mistari utamuelewa.

Jamaa ana hoja!!!
 
Wanatuunguzia vitu kwa ujinga wao
 
Sasa wewe ndio mmoja wa wasiojielewa ambaye unashindwa ata kujuwa "Power Fluctuation" alafu unasema wenzio.
WE MILEMBE INAKUHUSU.
Na unasema ongera CCM..? ( kama sio "JANI" linazungumza basi sijuwi nini
Kwahyo unadhani Power Fluctuation/Umeme kucheza inatoka na kitu gani kama sio uzembe wa wafanyakazi wa Tanesco.

ACHA KUPANIKI KIJANA
 
Sii maanishi hivyo. We ndio hujuwi kizungu . Na maanisha unapanda na kushuka . "Power Fluctuation"
Hakika utakuwa CCM .
Ni haibu sana kwa kijana kama wewe kushindwa hata kutumia Google kujifunza kabla ya kujibu.
Sio haibu ni aibu bwege kabisa
 
Naombeni Msaada Mita Yangu Ni Mpya Inagoma Kupokea Unit nimepiga Tanesco Hakuna Msaada Mmoja kasema nibonyeze (0) the Nita Namba Mwingine kasema Niwangoje Huduma kwa Wateja ila Hata Hawajaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…