Haina haja ya kuuliza eneo.
Kwa kifupi nchi nzima ipo gizani.
Maeneo mengi ya nchi hii yana mgao wa kimya kimya wa umeme.
Mataga wanazingua sana.
 
Giza tupu. Tanesco mlaaniwe mpigwe na shoti ya umeme wenu
Tanesco ni mastriker wazuri sana tena wanapiga hamsa,hamsa halafu wanauliza ngapiii hukooo🤸‍♂️🤸‍♂️😝
 
Ni hatari gani iyo unaingolea Mkuu ?
Ile ni mitambo complex, hata mshituko mdogo tu inajizima, yaani watu wanataka iendelee kuwaka ili wamulikie magimbi yao, halafu iungue nchi ipate hasara ya mabilioni.
 
Bashite ajitahidi kuzungumxia Tanesco sio kumpa mama sifa za kishamba na kichawa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…