Tanesco sisi wakazi wa kisasa na viunga vyake namaanisha Mlamleni pamoja na churwi ni mji upo nyuma ya kongowe ya wilaya ya Mkuranga ,kuna nyumba zisizopungua 3000 lakini hakuna umeme wanatulete blablaa za kisiasa kwamba tususbili mpango wa REA lakini ukiliangalia eneo jinsi lilivyo kijografia tunahitaji nguzo kama nne kuvuta umeme kutoka majimatitu ufike eneo letu au nguzo hizo nne kuvuta umeme kutoka charambe mbagala.kumekua na uzito sana kwenye jambo hili .Surveyor wanakuja wanaondoka wanatupa matumaini ila hatuono dalili,hatuwezi kusema tupo kijijini mpaka tusubili mpango wa REA wakati tunatumia dakika 7 kufika mbagala rangi tatu tupo karibu kuliko hata watu watu wa vikindu na mbande.kuna namna mapato mnapoteza hapa kama idada kubwa ya kaya takribani elfu 3000 na hakuna umeme