hamna matangazo yoyote wawatangazie wananchi wajue kuna shida gani ni shidah
 
KAMA KUNA MGAO ITISHENI PRESS CONFERENCE MUWAAMBIE WATU MUACHE KUKATA UMEME OVYO ...MNAKATA UMEME KUANZIA ASUBUHI HADI JIONI.HLAFU HAKUNA KINACHOONGELEWA KWAMBA SABABU NI NINI
 
Tabata hakuna umeme kutwa nzima,hakuna taarifa mliyotoa, kutwa nzima na Sasa mnafanya kuwasha na kuzima
 
Tangu sa 12 hasbuhi arusha hakuna umeme umewaka sa 1 jioni tuambieni kama ni mgao tuweke akiba ya mafuta ya geneletor hacheni upuuzi
 
Siku ya tatu leo hatuna umeme Tanesco are you serious with business
 
Namba ya simi tafadhali
 
Tanesco sisi wakazi wa kisasa na viunga vyake namaanisha Mlamleni pamoja na churwi ni mji upo nyuma ya kongowe ya wilaya ya Mkuranga ,kuna nyumba zisizopungua 3000 lakini hakuna umeme wanatulete blablaa za kisiasa kwamba tususbili mpango wa REA lakini ukiliangalia eneo jinsi lilivyo kijografia tunahitaji nguzo kama nne kuvuta umeme kutoka majimatitu ufike eneo letu au nguzo hizo nne kuvuta umeme kutoka charambe mbagala.kumekua na uzito sana kwenye jambo hili.

Surveyor wanakuja wanaondoka wanatupa matumaini ila hatuono dalili,hatuwezi kusema tupo kijijini mpaka tusubili mpango wa REA wakati tunatumia dakika 7 kufika mbagala rangi tatu tupo karibu kuliko hata watu watu wa vikindu na mbande.

kuna namna mapato mnapoteza hapa kama idada kubwa ya kaya takribani elfu 3000 na hakuna umeme
 
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Huduma/tatizo

Tunaomba taarifa kamili ili tuweze kuwasiliana na ofisi inayokuhudumia hapo kama umeongelea mikoa miwili tofauti
 
umerudi umeme lakini cha moto tumekiona
 
Habari...kwa mfano ninamahitaji ya haraka sana sana na umeme ktk nyumba. Je utaratibu wenu ni uleule au kuna utaratibu tofauti?
 
Mkoa
Wilaya
Eneo
Namba ya simu
Huduma/tatizo

Tunaomba taarifa kamili ili tuweze kuwasiliana na ofisi inayokuhudumia hapo kama umeongelea mikoa miwili tofauti
wilaya :Mkuranga
Eneo :Kata ya mlamleni eneno hili hakuna nishati ya umeme pamoja na viunga vyake vyote ikiwa pamoja na kisasa na churwi
Namba ya simu:0625905331
Tatizo:tunahitaji ufafanuzi yakinifu kwa nini haya maeneo hakuna umeme wala dalili ya kuwa na umeme wakati sisi tupo karibu sana na mkoa wa Dar esalaam wilaya ya Temeke.Tunahita nguzo takribani nne ili kuweza kuroute nyaya kutoka eneo la charambe/Temeke kufika eneo letu ambalo lipo Mkuranga
 
Tunaomba taarifa zote tulizomba mpendwa mteja
 
Kutokana na malalamiko yanayo tolewa na wateja ni wazi kabisa kero kubwa inayo wakabili wateja ni ukatikaji wa Umeme mara kwa mara bila hata taarifa.

Endapo shirika la Umeme litatatua kero hii basi itakuwa imepunguza kero kwa 90%

Leo hii tarehe 28/10/2017 Umeme umekatika maeneo ya kiluvya gogoni, kwa komba, kibamba n.k tangu asubuhi hadi sasa ,vzalishaji umesimama, hivi hili shirika kwa nini lisibinafsishwe? huenda tutasahau kero za kukatiwa Umeme.
 
Hivi shirika halioni kero kulalamikiwa kila siku jambo hilohilo la kukatika katika umeme?
 
hivi garama za umeme zimepanda au nivipi nimenunua umeme wa 10 nimepewa unts 14
 
hivi garama za umeme zimepanda au nivipi nimenunua umeme wa 10 nimepewa unts 14
Tunaomba namba yako ya mita tukuambie umekatwa nin na nin kwani 10000 ni unit 28 kwa tarif 28 na unit 77 kwa tarif 4
 
Tanesco kimara ni jipu tokea jana umeme tunapata nusu saa wanakata kata muda wote inabidi dm ajiatathimin kama anaweza kufanya iyo kaz
 
Tanesco kimara ni jipu tokea jana umeme tunapata nusu saa wanakata kata muda wote inabidi dm ajiatathimin kama anaweza kufanya iyo kaz
Eneo gani kuna baadhi ya maeneo kulipata hitikafu ya mvua kubwa na magari hayawezi kuingia kutokana na uharibifu wa miundombinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…