Ndugu mpendwa mtejaWilaya ya misungwi,tarafa ya usagara,kata ya Kanyelele,kijiji cha Mwaholo kwa nini zaidi ya nyumba 20 zinazohitaji umeme hamtski kuwawekea? Mmewekea watu wachache tens kwa ubaguzi.Ni lini mtaweka umeme?
Nishatuma namba pmEneo gani haswa namba ya simu tafadhali na wikaya yako
Cheche za upendo ama[emoji23] [emoji23]Kwenye umeme ulioingia kwenye nyumba pale juu mvua ikinyesha ni tatizo unazima na kuwaka mpaka ugonge, ukiwaita taneso wakija wanasugua tu wanaondoka na tatizo haliishi....
Je hiyo husababishwa na nini? Maana kuna mda panatoa cheche sana.
Eneo gani, namba ya simu, mkoa na wilaya yako, je bado tatizo hilo lipo?Kwenye umeme ulioingia kwenye nyumba pale juu mvua ikinyesha ni tatizo unazima na kuwaka mpaka ugonge, ukiwaita taneso wakija wanasugua tu wanaondoka na tatizo haliishi....
Je hiyo husababishwa na nini? Maana kuna mda panatoa cheche sana.
Kwa three phase unaweza kufika ofisi inayohudumia ujaze fomumili upewe access ya kuona online matumizi yako aidha unaweza kutupatia namba yakonya mita na ya simu tukujulishe hiloSamahani naomba kujua matumuzi ya umeme kwenye muta ya three phase( namaanisha unit ambazo zimekwisha tumika)
Maana hawa tunaowapa kazi mashine wanatuibia kwa kuweka unit je kuna njia nawezatumia kujua total unit used?
Dar es salaam ilala tabata kisukuru.Eneo gani, namba ya simu, mkoa na wilaya yako, je bado tatizo hilo lipo?