Eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mteja
 
Tanesco fanyeni msaidie Lindi toka jana saa nane mchana hadi muda hakuna umeme mambo hayaendi fanyeni muwashe hata nusu saa tu.
Tumelipokea mpendwa mteja
Tunalifanyia kazi
 
Reactions: ABJ
Hivi tanesco mna shida gani kukata Umeme muda usiku huu SAA 00:14 au unataka watu waibiwe na kufanyiwa vitu vya kialifu maeneo yenyewe haya hata police wapo mbali
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

3.MKOA...................................

4.WILAYA................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
Tumeipokea mpendwa wetu tunaifanyia kazi
 
HIVI TANESCO MNA MATATIZO GANI YASIYOISHA KILA SIKU MNAZIDI KUWA KERO KERO KERO...
MMEKUWA NA TABIA AMBAYO SASA NAONA KAMA IMEKUWA NI MAZOEA MNAKATA OVYOVYO UMEME KILA SIKU MAENEO YA KIGAMBONI MPAKA KONGOWE YOTE MBAGALA TEMEKE. HASAWA KWA SIKU ZA WEEKEND JUMAMOSI NA JUMAPILI KUTWA NZIMA UMEME UNAKUWA HAKUNA.
Nakila siku mnapokata mnasingizia kuwa mnarekebisha mitambo mara nguzo mara hiki mara kile na hii ni desturi yenu tangu enzi za mkapa mpaka sasa naona imekuwa ni kama desturi yenu.
mnadhani hii kero mnayotufanyia tunasahau baada ya muda.. hapana tunawaweka kiporo ili tuwajibu kupitia bosi wenu mkuu anaewachekea.
hii katakata yenu muendelee nayo tu tutawajibu 2020 maana naona mmeshazoea KATAKATA..

ENDELEENI TU KUTUTESA NA MIGIZA YENU. KWANI IPTL ILE MITAMBO YAKE HAMUITUMII KWANINI???
AU HAMKUJIANDAA??
MNATANGAZA KWENYE MEDIA KUWA KUANZIA MWAKA 2015 UMEME UTAKUWA HADITHI TU NA HADITHI INAENDELEA MPAKA LEO HAKUNA LOLOTE LONGOLONO TUUU..

Na kero nyingine mnaniuzi mnapomlipisha mteja kuweka nguzo anailipia 1MILIOON afu nikizuia mtu asiitumie mnakataa hii ni mali yangu au ya tanesco??? kama ni yenu kwanini mnaniuzia alafu bado inabaki kuwa yenu afu anatokea mbululaz mnataka apitishie / mumuunganishe kiulaiiini kupitia nguzo niliyoilipia mamilionee hamuoni kuwa mnazurumu wananchi??
badilikeni haya ndio yanachangia kutupa hasira ya kufanya maamuzi 2020
JIANNDAENI...

TANESCO

CC: JPM
 
NAMBA YA SIMU NDO ITALETA UMEME??
Kwani huko aliko c mnao wawakilishi wenu? wasilianeni mtatue tatizo sio kuomba namba za sim hazileti umeme
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA.....................................

2.SIMU....................................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
NAMBA YA SIMU NDO ITALETA UMEME??
Kwani huko aliko c mnao wawakilishi wenu? wasilianeni mtatue tatizo sio kuomba namba za sim hazileti umeme
Ndugu mpendwa mteja
Unapotoa taarifa tulizokuomba unatusaidia kukuhudumia vizuri zaidi kwani mnaweza kuwa eneo moja lakini mkawa mnahudumiwa na feeder au transfoma tofauti hivyo lwa nia njema ya kukujali wewe tunaomba hizo taarifa
 
TANESCO nawapongeza sana kwa hatua hii ya kuwa karibu na wateja wenu na kusikiliza kero kwa namna hii kupitia mitandao ya kijamii.
 
hiviiii inamaana mnavokata umeme kila siku za weeknd jumamosi na jumapili huwa hujui kuwa mnakata? na kwanini mnakata sikuhizi kutwa nzimaa jana tumellala giza tangu saa 11 jioni mpaka asubihi hii ni mida ambazo umeme unahitajika zaidi alafu mnakata tuuu mfyuuuuuuuuuu
 
TUPATIE TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA.

NDUGU WAPENDWA WATEJA WETU MNAOTOA TAARIFA KUPITIA MITANDAO YETU YA KIJAMII TUNAWAOMBA MZINGATIE YAFUATAYO ILI KURAHISISHA UFAFANUZI NA UFUMBUZI WA TATIZO AU TAARIFA HUSIKA

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO
 
Ndugu mpendwa mteja
Unapotoa taarifa tulizokuomba unatusaidia kukuhudumia vizuri zaidi kwani mnaweza kuwa eneo moja lakini mkawa mnahudumiwa na feeder au transfoma tofauti hivyo lwa nia njema ya kukujali wewe tunaomba hizo taarifa
hiviii unataka kunieleza kitu gani ... nimetoka maeneo ya mbgl kizuinani mida ya saa 11 jioni ni umeme hakuna nimefika mpakakongowe kibada kigamboni hakuna umeme jee inamaana tunatumia transfoma moja tu.

. msiwe wepesi kujibu kirahisirahisi hii ni kero ya muda mrefu sana na kazi yenu ni kujibu tu lakini ikifika jioni lazima mkate na hamtoi taarifa kuwa tunakta umeme sababu mmeshazoea kukata
 
TANESKO ipiiii??/ labda ya ZIMBABWE
 
Ndugu mteja
Kila mahali umeme unapokatika kuna kuwa na sababu maalumu na inatangazwa kwa wateja ndio maana tumekuomba taarifa za eneo lako unalolalamikia, namba yako ya simu tukusikilize. Tupo kukusikiliza na kukupatia ufafanuzi muda wote
 
MTAFUTE MKUU WAKO WA ENEO LA KIGAMBONI muulize kwanini umeme unakatwa kila weekend j1 na j2 KUANZIA SAA 4 ASUBUHI MPAKA USIKU SAA 4 usiku halafu mtupe majibu humuhumu nini tatizo la kutukatia umeme hizi siku 2
 
Tunashukuru sana kwa taarifa, tumezipokea mpendwa mteja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…