MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOnadhani wanahamisha vyombo vyao pale makao makuu ambapo panaenda kubomolewa wandugu.
Hakuna mgao wa umeme mpendwa mteja bali ni kulukuwa na kazi kwenye mtambo wetu mpendwa mtejaTafadhali Tanesco Tanga tufahamishe kama kuna mgao wa umeme mtupe na ratiba tujiandae kwa machungu.
Kukaa kimya ni machungu zaidi kuliko umeme wenyewe
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOHamna maana nimeisha waandikia wala hamjibu
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOHamna maana nimeisha waandikia wala hamjibu
Mkuu namba za mikoa yotd zipo kwenye page hii tafadhali rudi juu kabisa utaziona
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKOKuna nguzo iliyoathirika na mvua hapa mbezi mwisho nyuma ya kwa Mpipi,ni baada tuu ya njia panda ya Maramba Mawili baada tuu ya bump mkabala na kanisa la KKKT.Nambiwa kuna wafanyakazi wa TANESCO waligika lakini hawajaonekana tena,nguzo inadondoka wakati wowote.
.....Jibu simple question tuko kwenye mgao?Tafadhali rejea taarifa tunazotoa kupitia kurasa zetu pamoja na vyombo vya habari