RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Nakutumia PM.Tunaomba namba yako ya mita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutumia PM.Tunaomba namba yako ya mita
Meter namba ni utambulisho pia mkuu! naona ni vizuri kama utajali usiriMita namba zio siri na kila.mtu anayake weka tu hapa mkuu
Nimekutumia, muhimu uipate tu aidha hapa au PM.Mita namba zio siri na kila.mtu anayake weka tu hapa mkuu
Mkuu tariff 4 ndo nini?na inawezekana vipi 9,500 upate units 73,wakati Mimi nanunua wa 20,000 napata units 56.
Mimi pia nina tatizo linalofanana na hili, niliingizwa mojakwamoja kwenye tariff 1 na mita ni mpya tangu mwez august mwaka jana nilipofungiwa umeme, naomba msaada kubadilishiwa tariff toka hiyo tariff 1 kwenda tariff 4 meter no. 54 1305 1107 1Mbona mimi tangu nimeanza kutumia umeme (mita mpya, ina miezi 6/7 sasa hivi) sijawahi kuzidisha units 70 kwa mwezi na bado nalipa 10,000/- napata units 28 tu?
Hio tarrif 4 inapatikanaje?
Mimi ilishawahi ni kuta mita ilikuwa inakula sana umeme, Fundi alivyokuja akabadilisha Earth loads (Chuma ya Earth) baada ya hapo mambo mukidii mukideTanesco naomba muangalie mita yangu
inakula sana hela wakati navyotymia ni vichache
namba ya mita 24 2109 3432 9
Niko Rwamgasa-Geita
Aiseee kumbe huwa wanaziweka line zao busyNaomba kuelewa au kujua ni kwa nini eneo la Chang'ombe Maduka mawili pamoja na maeneo yote ya jirani na hapo umeme unakatika katika mara kwa mara hususani siku za mwisho mwa juma. Kiukweli tunanyanyasika sana na hiyo hali na hata tupigapo simu kutaka kujua tatizo ni nini, line zote zinawekwa busy mpaka umeme utakaporudi.
Naomba kujua umeme wa units 56.2 kwa mwezi inakuwa ni tariffs ipi?Mita namba zio siri na kila.mtu anayake weka tu hapa mkuu
Majibu yameshatolewa humu bila shaka mkuu!Naomba kujua umeme wa units 56.2 kwa mwezi inakuwa ni tariffs ipi?
Mimi nipo katika iyo tariffs iyo apo na umeme nanunua kwa Tshs 20,000 kwa Units 56.20. Kwa bei ya kila units Tshs 355.87Habari kwa uwelewa wangu mdogo watu wa TANESCO watanisaidia kama ntakuwa nakosea.
tarrif 4 ni wateja wadogo wa umeme vijijini na wenye matumizi madogo ambao kama sikosei ni watumiaji wa umeme wenye unit chini ya 75 kwa mwezi ambapo wananunua umeme kwa shilingi 108 bila kodi za serikali na wkundi jingine ni tarrif 1 ambao hawa TANESCO wanaita watumiaji wa kawaida wa nyumbani ambao matumiz yao ni zaidi ya unit 75 kwa mwezi hawa wananunua unit moja shilingi 292 bila kodi za rea, vat na ewura
Jiongeze mkuu!Nimeomba saveaTanesco tangu tarehe 17.3. Mkoani Kilimanjaro cha ajabu mpaka leo savea hajafika! Nilikuwa likizo mpaka likizo lmekwisha hakuna kitu kila ukienda unaambiwa tunakuja!
Tanesco. Tumieni taarifa toka kwa whistle blower. Na mjue jinsi ya kuwalinda watu kama hawa. Biggy pongezi kwa kuwa mzalendoMmekuwa mkilalamika kwamba mnaendesha shirika kwa hasara, mnajua kama kuna baadhi ya watumishi wa shirika hushiriki kulihujumu shirika kwa kushiriki wizi wa umeme? Mfano pale Kibamba CCM DSM kuna mita moja ya umeme inahudumia zaidi ya nyumba 3 lakini malipo ya umeme kwa mwezi si zaidi ya shilingi 10,000. Pale Igogo Mwanza Mtaa wa mchafukoga kuna mtu anatumia umeme bila mita na yeye kafungua tanesco yake anawasambazia watu umeme majumbani kwa malipo yasiyozidi 10,000 kwa mwezi,akishapokea malipo hayo na yeye anawagawia wezi wenzie pale TANESCO Igogo,wezi wote hao wawili niliowataka walikuwa watumishi wa shirika hilo hapo kabla. Je mnayajua hayo?