chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,834
- 26,217
Kuwalinda kwa maana ya kuwalipa piaTanesco. Tumieni taarifa toka kwa whistle blower. Na mjue jinsi ya kuwalinda watu kama hawa. Biggy pongezi kwa kuwa mzalendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwalinda kwa maana ya kuwalipa piaTanesco. Tumieni taarifa toka kwa whistle blower. Na mjue jinsi ya kuwalinda watu kama hawa. Biggy pongezi kwa kuwa mzalendo
Kuwalipa ni extra reward. Basically ni kulinda taarifa za mtoa taarifaKuwalinda kwa maana ya kuwalipa pia
Pole sana ndugu yangu. Kuna kaka angu nae ilimkuta ivyo ivyo uko mbezi ya shambaHabari mkuu.
Mwaka jana wakati navuta umeme nilimuambia jirani yangu ambaye tupo karibu naye kuwa tuchange pesa kisha tununue nguzo mbili kisha iwe rahisi kuvuta umeme. Yeye alikataa katakata tena kwa kiburi. Wiki iliyopia nimeona tanesco wamekuja kusurvey katika nguzo zangu wakiwa wanataka kumvutia umeme. Mimi nataka kuweka pingamizi kuwa na yeye atafute nguzo zake au atumie line ya mtaa wa nyuma ili avute umeme ila sitaki atumie nguzo zangu.
Naomba muongozo wako katika hili mkuu
TANESCO mbona mmeingia mitini kulitolea ufafanuzi suala hili au limegusa wahusika mnaowajua?Mmekuwa mkilalamika kwamba mnaendesha shirika kwa hasara, mnajua kama kuna baadhi ya watumishi wa shirika hushiriki kulihujumu shirika kwa kushiriki wizi wa umeme? Mfano pale Kibamba CCM DSM kuna mita moja ya umeme inahudumia zaidi ya nyumba 3 lakini malipo ya umeme kwa mwezi si zaidi ya shilingi 10,000. Pale Igogo Mwanza Mtaa wa mchafukoga kuna mtu anatumia umeme bila mita na yeye kafungua tanesco yake anawasambazia watu umeme majumbani kwa malipo yasiyozidi 10,000 kwa mwezi,akishapokea malipo hayo na yeye anawagawia wezi wenzie pale TANESCO Igogo,wezi wote hao wawili niliowataka walikuwa watumishi wa shirika hilo hapo kabla. Je mnayajua hayo?
TANESCO TANESCO TANESCOmkuu Shirika siku zote linapenda kusikia wateja wake wanafurahia huduma zetu. hivyo basi sio ukiona TANESCO wamekata umeme sehemu jua tu kuna tatizo au ni dharura.
Tunaomba radhi kwa hilo na tutahakikisha tutakuwa tunatoa taarifa mapema kwa wateja wetu
Mpendwa mtejaTunaomba namba yako ya simu hata kwa private mesage ili tuweze kushirikiana nawewe kubaina tuhuma hizo nzito ulizotupatia.Tunashukuru san kwa taarifa hizi muhimuTANESCO mbona mmeingia mitini kulitolea ufafanuzi suala hili au limegusa wahusika mnaowajua?
Tunaomba utapatie swali lako mpendwa mteja kwani meseji ni nyingi na lengo letu ni kujibu zote kwa ufaha.tunakuombabradhi sanaHawa jamaa bwana, mimi nilileta malalamiko au maulizo yangu hapa siku ya kwanza tu mlipofungua uzi huu mliomba namba yangu niliwatumia na mkaahidi kunipigia na kutoa majibu ya swala langu, cha ajabu mpaka leo kimya. Kwanini?
Na nimeona member wa JF wameuliza maswali mengi sana hapo juu lakini hayajibiwi, kulikuwa na umhimu gani wa kufungua uzi huu?
Ujue mnakera sana TANESCO ni bora hata kungekuwa na shirika mbadala la kusambaza hiyo huduma ya mitandao ya umeme, Haiwezekani mtu unajinyima pesa yako kufanyia mambo mengine na kuwalipa nyie kwa ajiri ya Nguzo lakini for 8 Months (Almost a year) umekaa na hela yangu bila kunipa huduma ninayoihitaji, huo si ujuha?
Jaribuni kujirekebisha kama hamna uhakika na kutoa huduma ndani ya muda ni bora musiwe mnapokea pesa za wateja maana mnatutia hasara bure.
Mimi tatizo langu ni kwamba niliingizwa kwenye tarrif 1 tangu mwanzo wa kufungiwa umeme meter ni mpya na nimefungiwa umeme mwezi august 2016, na matumizi yangu hayazidi units 50 kwa mwezi, naomba kuhamishiwa tariff 4 meter no. 54 1305 1107 1 kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0769 229 592Tunaomba utapatie swali lako mpendwa mteja kwani meseji ni nyingi na lengo letu ni kujibu zote kwa ufaha.tunakuombabradhi sana
Tutaangalia matumizi yako na kukupatia maelezoMimi tatizo langu ni kwamba niliingizwa kwenye tarrif 1 tangu mwanzo wa kufungiwa umeme meter ni mpya na nimefungiwa umeme mwezi august 2016, na matumizi yangu hayazidi units 50 kwa mwezi, naomba kuhamishiwa tariff 4 meter no. 54 1305 1107 1 kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0769 229 592
Ahsante kwa jibu zuri, nasubiri utekelezaji na mrejesho wa ahadi yenu.Tutaangalia matumizi yako na kukupatia maelezo
Taarifa hizi na nyingine nyingi kama gps na eneo la mteja zinakuwa kwenye mfumo wetu hivyo sio kila risiti itaonyesha taarifa nyingi sana inaonyesha baadhi ya taarifa muhimuKwanini lisiti za luku hazioneshi mtaa na namba ya Nyumba ambayo inatumia na kulipa umeme. Kwa maana nyingine anuani ya mita husika . Mathalani ripoti ya luku isomeke Dar es saalam, District Ilala, Ward, Street, plot/house number. Proof of address ni muhimu sana kwa Tanesco na mteja. Hata kama Nyumba nyingi hazina house number lakini nyinyi Tanesco mnatakiwa kusajili Nyumba kwa design yenu na address hiyo ionekane kwenye lisiti ya malipo ya umeme. Tafadhali liangalieni hili LA proof of address kwa Tanesco na mteja.