pecial
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 734
- 555
naomba meter no ykomi niliweka umeme wa elfu 30 last yr, hadi leo unit hazijapungua,ila umeme napata kama kawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba meter no ykomi niliweka umeme wa elfu 30 last yr, hadi leo unit hazijapungua,ila umeme napata kama kawa
Upo mkoa gani?Nyumbani kwangu natumia umeme wa Luku ambayo ukiweka umeme usiku inagoma hadi uishe kabisa.Sasa jana nilijaribu kuweka uneme ikanigomea na hadi leo hii muda huu nimeuweka inakuwa kama imekubali baadaye inaandika Err_1 na umeme hauwaki,kinawaka kitaa kikoja hapo kwenye mita basi.Najiuliza nifanyeje wakuu?
Niko Dsm Mbezi kwa musugurUpo mkoa gani?
mi niliweka umeme wa elfu 30 last yr, hadi leo unit hazijapungua,ila umeme napata kama kawa
yanini?naomba meter no yko
kuna Uzi tumeuandaa kwa malalamiko yenu naomba ungeenda peleka shida yko kule watatatua hilo tatizo,, tanesco special threadNiko Dsm Mbezi kwa musugur
Tublock hizo units na utalipia since ulipoanza kuliibia shirikayanini?
Wewe hujielewi,kama kitu hujui piga kimya,kwanza ilijilock na nimeshaifungua.Tublock hizo units na utalipia since ulipoanza kuliibia shirika
0784 768 584 head Ofice TanescoNyumbani kwangu natumia umeme wa Luku ambayo ukiweka umeme usiku inagoma hadi uishe kabisa.Sasa jana nilijaribu kuweka uneme ikanigomea na hadi leo hii muda huu nimeuweka inakuwa kama imekubali baadaye inaandika Err_1 na umeme hauwaki,kinawaka kitaa kikoja hapo kwenye mita basi.Najiuliza nifanyeje wakuu?
wew unajielewa hakuna shidaWewe hujielewi,kama kitu hujui piga kimya,kwanza ilijilock na nimeshaifungua.
Angalia post yake. Mwaka wa Tatu hajapata huduma.Tunaomba maelezo mpendwa mteja