TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Naoungana na hoja ya mjumbe aliye tangulia halo nyumakwa kuwataka TANESCO wamuongezee mtumiaji wa tarrif 4 units zifike 100 and if possible 150 ni bora zaidi Kwan ukiwa umeunganishwa na tarrif 4 kiukweli unakuwa mtumwa na mwisho kilasiku husababisha Migogoro nyumbani ktk matumizi ya umeme nyumbani yote hii ni kubana matumizi ya umeme

Kitu kingine naomba TANESCO wabadirishe mfumo MITA zote tiakazo tolewa kwa matumizi ya nyumbani zitolewe kwenye mfumo wa TARRIF 1 zisajiliwe kwenye TARRIF 4 Mona kwa moja hii itajichambua kutokana na matumizi ya mtu wenyewe yakizidi hizo UNITS automatically inampeleka kwenye TARRIF 1

Hii itasaidia kuokoa muda kwa wateja kupanga foleni pia kuombwa soda wakati wa napohitaji huduma hiyo

Mkifanya hivo mtakuwa mume wasaidia wengi kwani wapo wengi wanatumia TARRIF 1 hali yakuwa matumizi yao hata units 50 hazifiki ila hawajui lakufanya kwasababu mfumo huu umefanywa kama siri na wanao ufahamu niwachache tena unakuta wanao utumia ni wenye matumizi makubwa ndo wanaufaufaham mfumo huo.
 
Tunashukuru kwa ushauri wako mpendwa mteja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimelipia kuunganishiwa Umeme pamoja na nguzo tangu mwezi Wa 5 pale kisarawe hivi napaswa kusubiri mpaka lini?
Jina. Andrea Donati Kaishe
0714754331

Utapatiwa huduma mpendqa mteja.kisarawe ni moja ya eneo lenye wateja wenginsana hivyo waliokutangulia wanaendelea kufungiwa umeme na wewe utafukiwa .

OK lkn kama niliwaelewa vizuri ya kwamba ukipita muda Wa kusheria huwa wanatoa taarifa ili nisiwasumbue/kusumbuka kufuatilia
Maana kila nikiulizia wanauliza jina nililotumia wananusubirisha kwenye line bila majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
fc600a4e6da52f4570048a9353e1abc3.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mikoa mingie haina namba za simu? Maana mikoa mingine siioni hapa! Mfano, Ruvuma, Lindi, Mtwara, Njombe, .....! Taarifa, maoni, ushauri au matatizo toka huko huhitaji kuyajua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimelipia line ili nifungiwe umeme kwenye nyumba yangu tangu tarehe 11/3/2017 mpaka leo sijajengewa hiyo line niko Dar wilaya ya Ubungo nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina keneth goliama
Nimelipia 696000
Mbeya mjini ukifutilia wanakwambia mpaka sasa tupo watu walio lipia wa saba .hata ukipeleka tatizo la kuomba dharula wanasema nikusubiri foleni na kwamba haijulikani utaletewa lini
0754456360

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom