Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo kweli mnaitendea haki kauli mbiu yenu... tupo pamojaKama ulinunua mara mbili weka na hizi
3934 2223 6110 4391 2163
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Sawa tutawasiliana na wewe kwa maelezo zaidiTANESCO mie ni mkazi wa Mabwepande Mji Mpya SACCOS next block baada ya wahanga, mwaka Jana mwezi wa 8 mlipita na gari lenu mkatutangazia kwamba mtaleta umeme hivyo wakija Watu wakituambia tuchange hela tusitoe na kweli baada ya mwezi mkaanza kuleta nguzo, imepita miezi 6 sasa tangia muweke nguzo na hadi kufika mtaa wa SACCOS zinahitajika nguzo kama 7,ni nini kilichokwamisha mradi Huo wa REA? Tupo karibu na Chuo cha kilimo Mabwepande ,ukitaka kunipata nipigie namba yangu ni 0678308942.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zima switch zote za ukutani kwenye nyumba..baada ya hapo washa switch moja tu ya ukutani na chomeka hio rimoti hakikisha unatumia betri zenye nguvu sana..baada ya kuchomeka itawaka rimoti na kuaandika Connect... baada ya hapo weka umeme wako ukimalizia na alama ya Ok au enter.Naomba kujuzwa namna ya kuingiza umeme wa luku kwa hizi mita za kuingiza kwa rimoti kama umeme ukiwa umeisha kabisa ili nisiwe naenda kwa jirani kuingizia umeme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimara kuna tulitoa tangazo leo kuna kazi ya ukarabati wa miundombinu ya umeme mpaka saa 11 jioni mpendwa mteja
Tumeipokea mpendwa mteja tunaifatiliaNyie tanesco mungu anawaona mjue,
nimefika ofisi ya gongo la mboto kuomba kubadilishiwa tarrif toka 4 kwenda 1,nimepewa fomu nimejaza tangu mwezi wa sita mpaka leo kimyaaaa!
Kwani hii huduma inalipiwa?
Kama inalipiwa sh ngapi?
Tangu niweke umeme matumizi yangu hayajawahi kuzidi units 50 kwa mwezi sasa kwa nini hamtaki kunibadilishia?
Fundi wenu ananiambia mpaka aje akague,sasa anakagua nini wakati akiangalia tu kwenye kompyuta anaona matumizi,
kama nadanganya si itarudi kwenye tarrif 4 tatizo nini sasa.
Sijui niende kwa meneja au nae atanizingua!
Yaaani nyie tanesco,
nipo kitunda shule
jina,mwinyimvua a. Abubakari
mita no.37136082536
mkoa wa gongo la mboto
Tunaomba namba ya mita za zamani na mpya , namba ya simu na ofisi ipi uliomba hudumamimi ni mkazi wa kiwalani nawalalamikia tanesco .mita ilikua mbovu nikabadilishiwa bahati mbaya mita ya zamani ilikua na salio la umeme nikaambiwa niandike barua ya kuomba kurudishiwa nimeandika imekuwa ngumu kurudishiwa . ni kitu kidogo sana hiki kwanini wananizulumu haki yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshafika ofisi ya Yombo kupata msaada zaidimimi ni mkazi wa kiwalani nawalalamikia tanesco .mita ilikua mbovu nikabadilishiwa bahati mbaya mita ya zamani ilikua na salio la umeme nikaambiwa niandike barua ya kuomba kurudishiwa nimeandika imekuwa ngumu kurudishiwa . ni kitu kidogo sana hiki kwanini wananizulumu haki yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
luku ya zamani 01342477179 mpya 24218550481 kituo cha TazaraTunaomba namba ya mita za zamani na mpya , namba ya simu na ofisi ipi uliomba huduma
TANESCO MAKAO MAKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
tunahudumiwa na kituo kilichopo tazara hicho cha yombo ni kipiUmeshafika ofisi ya Yombo kupata msaada zaidi
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Kuna matapeli wawili wanapita huku mitaa ya Chanika nyeburu wakiwachangisha watu fedha ili wawafanyie mpango Wa Umeme haraka wana uniform na Vitambulisho vya tanesco
Sent using Jamii Forums mobile app