Replacement ya IPTL 110MW na SYMBION 100MW itapatikana lini? Naona umeme unakatika sana. Je ndiyo sababu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo ambao washalizwa na miamala waliorushiwa pesa IPOaisee Komaeni nao!Msije tapeliwa
Tunakuomba toa taarifa polisi au serikali ya mtaa pia ofisi zetu za maeneo hayo wakati wanafanya tukio hilo ili watiwe mbaroniKuna matapeli wawili wanapita huku mitaa ya Chanika nyeburu wakiwachangisha watu fedha ili wawafanyie mpango Wa Umeme haraka wana uniform na Vitambulisho vya tanesco
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwatumia jina na namba zao za simu Si itasaidia?Tunakuomba toa taarifa polisi au serikali ya mtaa pia ofisi zetu za maeneo hayo wakati wanafanya tukio hilo ili watiwe mbaroni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikoa ipi hasa itaathirika mkuu!?Kumetokea hitilafu kwenye Grid ya Taifa ya umeme, Mikoa mengi wanakosa umeme.
Shirika linahakikisha huduma inarejea ndani ya muda mchache.
TANESCO tunaomba radhi sana kwa usumbufu unajitokeza kwa sasa
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Utapatiwa huduma mpendwa mtejaNikilipia luku mpya 515600 wiki ya 3 Leo sijafungiwa umeme mnachukuaga muda gan kuweka umeme (ni nguzo moja yaitajika)
Umeme wa REA kwa Kilimanjaro utaratibu wa kuunganishiwa upo vipi mkuu?TANESCO NA REA YAENDELEA KUTIMIZA AZMA YA HAPA KAZI TU, UMEME WASAMBAA KWA KASI KUBWA![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu site kwako ni maeneo gani?Umeme wa REA kwa Kilimanjaro utaratibu wa kuunganishiwa upo vipi mkuu?
Mpendw mteja wetuTanesco Arusha tulipeni fidia zetu au tumepanga tuende mahakamani ikifika mwisho Wa mwezi huu August 2017 .hamna ataa aibu mnazungusha watu miaka 2 naa sasa .mnatoa sababu za kijinga eti mkurugenzi ajasaini cheque .miaka miwili mkurugenzi aja saini tuu .mnatia hasira sana .Yaani sioni ataa tofauti ya Uwepo Wa Raisi Magufuli na kauli yake ya hapa kazi tuu. Yaani Sijui ni raisi Wa Dar es salaam tuu.Huku Arusha ni kama tumetelekezwa mambo ni Yale Yale ya enzi ya Kikwete na tena mbaya zaidi sasa .ofisi za umma zimegeuka kama magenge ya ualifu Wa kupangwa .sio bure kila Raisi Magufuli akifika mikoani anapokelewa na mabango .shame on you Tanesco Arusha and the likes ,