TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Maonyesho ya uchumi wa viwanda kw a vitendo TANESCO itawezesha upatikanaji was nishati ya Umeme wa uhakika
e019653a2a571bc4b646b33e969f212b.jpg
3f89274a22db749b1778c251c2ed4fbc.jpg
4f2debc2c979aed736c4890f70b8a760.jpg
 
Kwa nini kuna gap kubwa kufungiwa umeme kati ya mteja anayetumia nguzo 2 na anayetumia nguzo 3.

Kwa nguzo mbili gharama ina range laki 5 hadi 6....kwa nguzo tatu gharama ni million 1na laki 5...je hii ni sahihi au tunaibiwa????
 
Mimi ni mkazi wa kwembe mpakani wilaya ya ubungo

Tuliomba Mradi wa umeme wa nguzo Tisa mwaka 2015 idadi yetu sisi waombaji ni kumi na wawili (12
Tumesubilia Mradi Kwa muda mrefu Sana zaidi ya miaka 2

Mradi umetoka mwezi wa Tano 2017
Nguzo zimeletwa site tokea mwezi wa sita mbaka hivi sasa ninaongea humu nguzo zimetelekezwa chini Sisi Kama Wateja watarajiwa WA Tenesco tupo njia panda atujui ni lini huu mradi utakamilika

hama Tanesco makao makuu mnatushauri tuchukue hatua zipi, ili na Sisi tuupate umeme.
 
Nguzo moja hadi mbili ni service line ya kawaida ambapo gharama zake zinafahamika, kuanzia nguzo tatu ni mradi hivyo basi gharama halisi ni lazma zitokane na vifaa vinavyohitajika katika kuunganisha umeme
 
0754695296
Majibu fastafasta nilidhani na utekelezaji pia au MH rais Maghufuli kile alichomaanisha kwenye mkutano wa ALAT haiwezekani kuongeza mishahara kwa utendaji huu.

Wa kusubiri mpaka madhara yatokee ving'ora,honi na spidi Kali kuelekea eneo la tukio kisha kujisifu kwa maneno matamu,tunashukuru wananchi walitujulisha haraka.

Nasi tuliiitikia wito na kufanikiwa kuepusha madhara.

Nadhani TUBADILIKE eneo linahitaji huduma
 
Ndugu mpendwa mteja tulipokea taarifa yako jana ipo kwenye hatua nzuri
 
Mimi ni mkazi wa kwembe mpakani wilaya ya ubungo
Tuliomba Mradi wa umeme wa nguzo Tisa mwaka 2015 idadi yetu sisi waombaji ni kumi na wawili (12
Tumesubilia Mradi Kwa muda mrefu Sana zaidi ya miaka 2
Mradi umetoka mwezi wa Tano 2017
Nguzo zimeletwa site tokea mwezi wa sita mbaka hivi sasa ninaongea humu nguzo zimetelekezwa chini Sisi Kama Wateja watarajiwa WA Tenesco tupo njia panda atujui ni lini huu mradi utakamilika
hama Tanesco makao makuu mnatushauri tuchukue hatua zipi, ili na Sisi tuupate umeme.
Ili umeme ufike kwako lazima kuwe na material yote ikiwamo meter, nyaya, nguzo na vifaa vinge kwaajili ya ku support nguzo na nyaya. Hivyo ukiona hivyo ujue labda vifaa vingine bado havijapatikana
 
Nipo dodoma (w)kongwa-kibaigwa.. Swali mita yangu ipo juu ya nguzo kila ikifika saa nne usiku inakata hadi saa moja asubuhi tatizo ni nini..? Yaani ni kero sana
Hapo tatizo sio meter ila tatizo kuna low voltage, hiyo kukata umeme muda huo ni kwakuwa watu wengi wanakuwa wamerejea majumbani na kuwasha vifaa vya umeme kwa wingi

Cha muhimu ni ku report office ya Tanesco inayohudumia maeneo uliyopo nao wataangalia namna ya kusolve tatizo kwa kufanya voltage improvement
 
Ili umeme ufike kwako lazima kuwe na material yote ikiwamo meter, nyaya, nguzo na vifaa vinge kwaajili ya ku support nguzo na nyaya. Hivyo ukiona hivyo ujue labda vifaa vingine bado havijapatikana
Kama tatizo ni nyaya na vitu vingine mbona watu wengine wamepata uduma ya umeme
 
Emergency tabata,Why mnaniweka kiza siku ya tano sasa,nimereport tatizo bado kurespond issue ktk meter kuna short,tukichokonoa mnasema tunawaibia sasa hata siwaelewi kabisa!!!
 
Maonyesho ya uchumi wa viwanda kw a vitendo TANESCO itawezesha upatikanaji was nishati ya Umeme wa uhakika
e019653a2a571bc4b646b33e969f212b.jpg
3f89274a22db749b1778c251c2ed4fbc.jpg
4f2debc2c979aed736c4890f70b8a760.jpg
Wapi na lini? Em njooni mnifungie umeme nami nishiriki na kiwanda changu
 
Kama tatizo ni nyaya na vitu vingine mbona watu wengine wamepata uduma ya umeme
Maana tumesubr Kwa muda wa miaka 2 toka 09/11/2015 kinacho tuuma Sana nikuona nguzo zimeletwa yapata miez 4
 
Hivi ile payment bill ya umeme ninayonunua kwa kutumia maxmalipo inatumiaka kama prove of resident of Tanzanian au bill ipi hutumika ivoo ?????
 
Nguzo moja hadi mbili ni service line ya kawaida ambapo gharama zake zinafahamika, kuanzia nguzo tatu ni mradi hivyo basi gharama halisi ni lazma zitokane na vifaa vinavyohitajika katika kuunganisha umeme
Ahsante Niko Moshi hapa..kumekuwa na ucheleweshaji ktk kufungiwa umeme...haingii akilini umelipia hela then tanesco wanakuambia kwa sasa wanafungiwa watu waliolipa mwezi wa 11 mwaka Jana...na huu ni mwezi wa 10.....tutafikiwa kweli?????boresheni huduma zenuu.....
 
kumetokea hitilafu katika baadhi ya mitambo ya songas na hivyo kusababisha baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam kukosa umeme.

jitihada zinafanyika kuhakikisha matengenezo yanakamilika kwa wakati
 
Mliniambia niwape simu no,,nimewapa na sijapata mrejejesho
 
kumetokea hitilafu katika baadhi ya mitambo ya songas na hivyo kusababisha baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam kukosa umeme.

jitihada zinafanyika kuhakikisha matengenezo yanakamilika kwa wakati
Umeme umerejea kama kawaida
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza
 
Nguzo ambazo zimedumu kwa miaka mitatu sasa bila waya sijui tatizo ni waya au tatizo ni nini hata sijui.
Kijiji cha kwekitui kata ya Mamba wilaya ya Lushoto.
 
Back
Top Bottom