Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguzo moja hadi mbili ni service line ya kawaida ambapo gharama zake zinafahamika, kuanzia nguzo tatu ni mradi hivyo basi gharama halisi ni lazma zitokane na vifaa vinavyohitajika katika kuunganisha umemeKwa nini kuna gap kubwa kufungiwa umeme kati ya mteja anayetumia nguzo 2 na anayetumia nguzo 3.
Kwa nguzo mbili gharama ina range laki 5 hadi 6....kwa nguzo tatu gharama ni million 1na laki 5...je hii ni sahihi au tunaibiwa????
Majibu fastafasta nilidhani na utekelezaji pia au MH rais Maghufuli kile alichomaanisha kwenye mkutano wa ALAT haiwezekani kuongeza mishahara kwa utendaji huu.0754695296
Ndugu mpendwa mteja tulipokea taarifa yako jana ipo kwenye hatua nzuriMajibu fastafasta nilidhani na utekelezaji pia au MH rais Maghufuli kile alichomaanisha kwenye mkutano wa ALAT haiwezekani kuongeza mishahara kwa utendaji huu.
Wa kusubiri mpaka madhara yatokee ving'ora,honi na spidi Kali kuelekea eneo la tukio kisha kujisifu kwa maneno matamu,tunashukuru wananchi walitujulisha haraka.
Nasi tuliiitikia wito na kufanikiwa kuepusha madhara.
Nadhani TUBADILIKE eneo linahitaji huduma
Ili umeme ufike kwako lazima kuwe na material yote ikiwamo meter, nyaya, nguzo na vifaa vinge kwaajili ya ku support nguzo na nyaya. Hivyo ukiona hivyo ujue labda vifaa vingine bado havijapatikanaMimi ni mkazi wa kwembe mpakani wilaya ya ubungo
Tuliomba Mradi wa umeme wa nguzo Tisa mwaka 2015 idadi yetu sisi waombaji ni kumi na wawili (12
Tumesubilia Mradi Kwa muda mrefu Sana zaidi ya miaka 2
Mradi umetoka mwezi wa Tano 2017
Nguzo zimeletwa site tokea mwezi wa sita mbaka hivi sasa ninaongea humu nguzo zimetelekezwa chini Sisi Kama Wateja watarajiwa WA Tenesco tupo njia panda atujui ni lini huu mradi utakamilika
hama Tanesco makao makuu mnatushauri tuchukue hatua zipi, ili na Sisi tuupate umeme.
Mwananchi mwenye kusubiri Utekelezaji wa HAPA KAZI TU.Ndugu mpendwa mteja tulipokea taarifa yako jana ipo kwenye hatua nzuri
Hapo tatizo sio meter ila tatizo kuna low voltage, hiyo kukata umeme muda huo ni kwakuwa watu wengi wanakuwa wamerejea majumbani na kuwasha vifaa vya umeme kwa wingiNipo dodoma (w)kongwa-kibaigwa.. Swali mita yangu ipo juu ya nguzo kila ikifika saa nne usiku inakata hadi saa moja asubuhi tatizo ni nini..? Yaani ni kero sana
Kama tatizo ni nyaya na vitu vingine mbona watu wengine wamepata uduma ya umemeIli umeme ufike kwako lazima kuwe na material yote ikiwamo meter, nyaya, nguzo na vifaa vinge kwaajili ya ku support nguzo na nyaya. Hivyo ukiona hivyo ujue labda vifaa vingine bado havijapatikana
Wapi na lini? Em njooni mnifungie umeme nami nishiriki na kiwanda changuMaonyesho ya uchumi wa viwanda kw a vitendo TANESCO itawezesha upatikanaji was nishati ya Umeme wa uhakika
![]()
![]()
![]()
Maana tumesubr Kwa muda wa miaka 2 toka 09/11/2015 kinacho tuuma Sana nikuona nguzo zimeletwa yapata miez 4Kama tatizo ni nyaya na vitu vingine mbona watu wengine wamepata uduma ya umeme
Ahsante Niko Moshi hapa..kumekuwa na ucheleweshaji ktk kufungiwa umeme...haingii akilini umelipia hela then tanesco wanakuambia kwa sasa wanafungiwa watu waliolipa mwezi wa 11 mwaka Jana...na huu ni mwezi wa 10.....tutafikiwa kweli?????boresheni huduma zenuu.....Nguzo moja hadi mbili ni service line ya kawaida ambapo gharama zake zinafahamika, kuanzia nguzo tatu ni mradi hivyo basi gharama halisi ni lazma zitokane na vifaa vinavyohitajika katika kuunganisha umeme
Umeme umerejea kama kawaidakumetokea hitilafu katika baadhi ya mitambo ya songas na hivyo kusababisha baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es Salaam kukosa umeme.
jitihada zinafanyika kuhakikisha matengenezo yanakamilika kwa wakati