jibril
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 594
- 243
hizo hapo tenatarehe 07/11/17
muda : 15:10 alasiri
kiasi : 10000
namba : 0687237985
mita : 22124473921

namba token sijapokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo hapo tenatarehe 07/11/17
muda : 15:10 alasiri
kiasi : 10000
namba : 0687237985
mita : 22124473921

namba token sijapokea
shukran sana !!!Dungu mteja token zako ni: 38102842227586130917
Tunaomba namba zako mpendwa mteja wetuMmmhhh namba naogopa kwa kuwa huyu mtu ni hatari sana ila ninachiweza kuwasaidia nitawaelekeza na mtafika hapo.
1.Kiwanda kilipo;mbele ya frem za Maduka ya serikari ya mtaa wa ndumbwi kata ya mbezi juu.
2.kiwanda kipo mkono wa kulia ukiwa unatokea kanisa katoriki mt dominical
3.waya ulipopita ukiwa unazingalia hizo frame kuna frem ya 13 kama sikosei kuna mtu anauza kitimoto karibu na hapo kuna bar ya Felix sasa basi kabla ujafika kwenye hiyo hapo wanapotengeneza kitimoto kuna nguzo ya umeme sasa kutoka hapo ndio wamechimbia waya chini umevuka barabara kwenda kwenye hicho kiwanda. Cha kuwasaidia zaidi nitawatafutia namba ya mtu aliyehusika kupitisha huo waya ,mmiliki mwenye kiwanda .pia nitakutumia barua ya malakamiko kutoka kwa wamiliki wa maduka .nipeni muda.
Tumeipokea mpendwa mteja kwa hatua zaidiToka juzi usiku umeme kwangu umekatika na inaonekana tatizo lipo kwenye nguzo au waya za kuja kwenye Luku nipo Morogoro ,Changalawe jirani na Mzumbe University na nimeripoti juzi usiku nikapewa namba 0389 mpaka leo siku ya pili imeisha Tanesco hamjaja kila nikiulizia naambiwa wanakuja sasa sijui hiyo ni Emergency au ni after emergency mnakera sanaaaaa.....bora tuwe hata na Mashirika binafsi lbd tutaheshimiana....... Tooo much sijui
Tunaomba taarufa kamilia ya unacholalamikiaNafikiri kuna sababu nyingi za kuwaangalia vizuri hawa wanaopokea simu kutoka kwa wateja na wale wanaokutana na wateja moja kwa moja either kwa kuwaongezea mafunzo ya huduma kwa wateja au kuwakumbusha wajibu wao mara kwa mara maana na wao ni binadamu coz inafika wakati wanaiona kama tanesco ni mali yao binafsi. Jitahidini sana mimi nilimepata shida sana week iliyopita nimelala giza siku tano bila sababu ya msingi na kila nikipiga huduma kwa wateja mbezi dah aisee ilinibidi nionyeshe rangi yangu halisi ndipo nilipata huduma haraka sasa najiuliza je kwa wenzangu na mimi sijui inakuaje. Alafu niliuliza swali sikujibiwa ila kwa kuwa nilikua bize sikutaka kufuatilia, sikuwahi kupeleka malalamiko ya kuhusu mita ya luku niliyonayo na haikuwahi haribika lakini walikuja kuitoa na kufunga mita nyingine kisa ile mita ilikua na units nyingi alikua anakaa staff sasa najiuliza huo ndio utaratibu? Na je hiyo mita inaenda fungwa wapi? Maana yake inaenda fungwa illegal au inabadirishiwa location na kulikua na sababu gani za kuitoa mita yote badala ya kufuta units tu? Mna utaratibu mpya siku hizi au?
Ulivyolipa ulipewa stakabadhi yaani receipt? Ulimpa nani namba yako ya simu na jina uliloombeaNimeomba umeme
Nimeomba kuvutiwa umeme kwenye nyumba yangu mpya kigamboni lakini mpaka leo nazungushwa. Nimejaza form mara mbili na mata mbili zote wamenilipisha pesa za watu kwenda ku ona site na nina amini hizo pesa ni rushwa na mpaka leo sijavutiwa umeme wakati hata jirani yangu ana umeme ninasikitika sana. Imefikia mahala naona bora niweke umeme wa solar.
Ndugu mpendwa mtejaMbona ardhi ya wananchi wa same mjini mliochukua hamtulipi? Kilimo na ujnzi vyote vimesimama.