Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo unajua basic wao kwao luxury kama wanatoa bureee vile wakati tunalipa pesa zetuInasikitisha sana. Kitu basic kama umeme kuwa ni luxury!
Umerudi kweli.....nimehamia sehemu umeme unakatika daily na hata ukiwepo ni low voltage!Nw Umelud
Yote Maisha LakinKwetu bila kukata siku haijaisha hapa ushakatika habari hatupati
Ah ah ah ah ah ah Kweri Huko Unatakiwa UhameUmerudi kweli.....nimehamia sehemu umeme unakatika daily na hata ukiwepo ni low voltage!
Polen sana aisee ww na zee lakoKwetu bila kukata siku haijaisha hapa ushakatika habari hatupati
Tatizo kubwaaa sana yangekua hata mawili km ttcl walivyonyookaU monopoly ndo unawazingua
Kwetu bado hyo ngoma 6 usikuUmerudi kweli.....nimehamia sehemu umeme unakatika daily na hata ukiwepo ni low voltage!
Sana tuuYote Maisha Lakin
NdiyoYaani kama kuna shirika ambalo wakisema livunjwe hata leo nitashangilia ni Tanesco!
Mtu hata kama umeamua kupumzika na kumalizia weekend nyumbani watakulazisha tu utoke, imagine weekend kama hii unaangalia mpira man utd vs brighton huku unasubiria liverpool vs chelsea jamaa wanakata umeme? Mnasababisha twende bar bila kupenda na vyuma vimekaza!
Kazi mnayoweza tanesco ni kukata umeme tu.
Kwanza nilisikia waziri mpya kasema umeme kukatika ni marufuku...vipi mbona ndio anachochea umeme kukatika?!
Hamna shirika nalichukia kama Tanesco maanake hawapitishi siku bila kuniharibia siku!
Poleni...hata mimi naangalia mpira huku nasubiri ukatike! Maisha gani haya....!Kwetu bado hyo ngoma 6 usiku
Aisee...kazi tunayo!Ndiyo
Ipo Inaitwa jeshi la polisi baada ya hapo ndo inakuja tanesco
Wanakera mnoo kuna kipindi dogo alikua na mitihani ya Necta nilipata shidaa basi tuPoleni...hata mimi naangalia mpira huku nasubiri ukatike! Maisha gani haya....!