Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Wangempa hata bakhresa awekeze kwenye nishati wangeona cha moto hili li nchi sijui lipoje yaaniTatizo kubwaaa sana yangekua hata mawili km ttcl walivyonyooka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangempa hata bakhresa awekeze kwenye nishati wangeona cha moto hili li nchi sijui lipoje yaaniTatizo kubwaaa sana yangekua hata mawili km ttcl walivyonyooka
Polisi na ile ya makumbusho paleYaani kama kuna shirika ambalo wakisema livunjwe hata leo nitashangilia ni Tanesco!
Mtu hata kama umeamua kupumzika na kumalizia weekend nyumbani watakulazisha tu utoke, imagine weekend kama hii unaangalia mpira man utd vs brighton huku unasubiria liverpool vs chelsea jamaa wanakata umeme? Mnasababisha twende bar bila kupenda na vyuma vimekaza!
Kazi mnayoweza tanesco ni kukata umeme tu.
Kwanza nilisikia waziri mpya kasema umeme kukatika ni marufuku...vipi mbona ndio anachochea umeme kukatika?!
Hamna shirika nalichukia kama Tanesco maanake hawapitishi siku bila kuniharibia siku!
Wanakera mnoooWangempa hata bakhresa awekeze kwenye nishati wangeona cha moto hili li nchi sijui lipoje yaani
Hivi mbona umeme mnakata sanaPole kwa usumbufu ndugu mteja, tunaomba namba ya simu Ilituweze kukufikia.
Hivi wapo hawa? Nina miaka 7 sijui huduma yao ikoje!Dawasco
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda huko kwenu, hapa kwetu mbona tunashirikiana nao vizuri tu...jana wamekuja kufyeka Maharage yangu wamesema yapo kwenye eneo lao la akiba.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji1] daahhh!Kutoa namba yangu ya simu ni hatari kwa usalama wangu kwa sababu mimi ni mwanachama ambae mara kwa mara naikosoa serikali inapokosea, Namba yangu ikijulikana naweza kutafutwa na kupewa kesi ya uchochezi kama mnavyojua.
Kama kawaida ninapokaa BLOCK - T mitaa ya chuo cha teku umeme umeshakatwa tangu saa tatu asubuhi ila cha ajabu nipo hapa forest ya zamani umeme upo kama ilivyo kwa kila siku tangu mgao uanze na ndio naoutumia kutype hapa, Tafadhalini sana nawaombeni mfanye huu mgao uwe wa haki, pia wafanya biashara wa mwanjelwa stendi ya kabwe nao hakuna umeme kila siku kuanzia asubuhi wanapoingia kufanya shughuli zao mpaka usiku wanapomaliza shughuli zao, Nawaombeni sana mfanye haki katika huu mgao, Block -t specifically maeneo ya chuo kikuu cha teku na sisi pia tunahitaji umeme unaokatwa kila siku kama wanavyouhitaji wakazi wa forest ya zamani ambao nahisi hata hawajui kwamba kuna mgao.
NAWASILISHA
Hivyo viwanda vitafanyeje kazi kwa umeme huo wa kusuasua.Mh Rais achana na viwanda kwanza, hakikisha kuna umeme wa uhakika hata wa kuwasha tv na redio tu.
Najaribu kufikiria flyover ya ubungo sijui itakuwa ya ghorofa bila umeme huko juu giza lake litakuwaje?!Aiseee yaan huku umekata hapa ubungo tangu sa 12 nadhan hapa kurud Paka sa6 usiku daah yaani ndani hakukariki
Hivi kama Jijin Hali iko hivi hivi huko kwingine Hali ikoje
Mliopo nje ya dsm hebu mtujuze Hali ikoje ya kukatika katika kwa umeme
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] dahHivi wapo hawa? Nina miaka 7 sijui huduma yao ikoje!
Ndio maana nasema tuimarishe umeme kwanza!Hivyo viwanda vitafanyeje kazi kwa umeme huo wa kusuasua.